Ajali ya Kariakoo imenifanya niwaze sana wanayopitia Wapalestina Gaza

Ajali ya Kariakoo imenifanya niwaze sana wanayopitia Wapalestina Gaza

Itikadi za kidini zinawatoa watu ubinadamu mimi kama mwanadini inaniuma sana sijui nifanyeje

Ningekuwa na uwezo ningeandika upya maandiko ya dini zote kwani ukiangalia utofauti ni mdogo sana
 
Nasikiliza mahojiano ya D knob anavyohojiwa na kueleza kuokoka kwake, nasikiliza mahubiri ya wasabato na wakiristo wengine walioshiba dini ukiachana na hao matapeli nikilinganisha na elimu niliyoipata ya kidini ya dini ya uislam siuoni utofauti

Ugonjwa wa itikadi za kidini ni sawa na wa kikabila yani mtu ni yule yule, anapumua kama wewe, anakula kama wewe na kila kitu kibailojia mnafanana lakini wamuona adui kifikra aisee huu ugonjwa ni mbaya sana kuliko magonjwa yote duniani
 
Imagine on daily basis, magorofa yanaangushwa tena intentionally at the same time hakuna maji hakuna umeme hakuna na chakula pia shida.

So much suffering in this world.

Mimi pia nimeliwaza hili, hakika their suffering huwezi kupima, hawana chakula , hakuna rescue team, huku mabomu yanaendelea, tuwaombe dua wote wanaopitia ktk hali hizi
 
Ni mateso makubwa.na Kuna mijitu
Inashabikia mara leo sijui kiongozi gani kauwawa mara sijui Israel watarusha bomb hawaoni wale watoto wadogo wanapitia mambo magumu kiasi gani. Kuna wakati ukisoma comment za wanaoshabikia unajiuliza hivi hali hii inamhitaji mtu awe na utu wa kiasi gani asione shida kwenye vita hivi, namwomba Mwenyezi Mungu awafanyie wepesi jaman
 
Ameen
 
Attachments

  • e09fee6f4f0c43478d46af13f4f51f2c.mp4
    2.8 MB
Hata waliochomwa na nondo na kuangukiwa na Tofali?
Hatari sana.lakini sisi ni uzembe wa serikali katika uokoaji.Kamati ya maafa Huwa inatafuna pesa tu Kila mwaka lakini uharaka wa kutekeleza majukumu katika uokoaji ni zero. Hii ajari ya kariakoo hakustahili hata mtu mmoja kufariki.
 
Mkiwa kwenye keyboard mnaongea sana,jengo linapoanguka kuna impact ya kuangukiwa na jengo lenyewe hacha waliofukiwa na vifusi. Ajali kama hz hata nchi zilizoendelea zikitokea zinaenda na watu.
Mpumbavu huyo anajifanya mjuaji kaa story za kijiweni au kwenye whatsapp
 
Back
Top Bottom