Kajunjumelle
JF-Expert Member
- Aug 13, 2024
- 220
- 239
Mimi pia nimeliwaza hili, hakika their suffering huwezi kupima, hawana chakula , hakuna rescue team, huku mabomu yanaendelea, tuwaombe dua wote wanaopitia ktk hali hiziImagine on daily basis, magorofa yanaangushwa tena intentionally at the same time hakuna maji hakuna umeme hakuna na chakula pia shida.
So much suffering in this world.
Inashabikia mara leo sijui kiongozi gani kauwawa mara sijui Israel watarusha bomb hawaoni wale watoto wadogo wanapitia mambo magumu kiasi gani. Kuna wakati ukisoma comment za wanaoshabikia unajiuliza hivi hali hii inamhitaji mtu awe na utu wa kiasi gani asione shida kwenye vita hivi, namwomba Mwenyezi Mungu awafanyie wepesi jamanNi mateso makubwa.na Kuna mijitu
Yani wewe ndio wale wale, allah akuongozeAngekuwa nao wasinge uawa. Kwa ugaidi wao acha Israeli iwaadabishe.
AmeenInashabikia mara leo sijui kiongozi gani kauwawa mara sijui Israel watarusha bomb hawaoni wale watoto wadogo wanapitia mambo magumu kiasi gani. Kuna wakati ukisoma comment za wanaoshabikia unajiuliza hivi hali hii inamhitaji mtu awe na utu wa kiasi gani asione shida kwenye vita hivi, namwomba Mwenyezi Mungu awafanyie wepesi jaman
Hatari sana.lakini sisi ni uzembe wa serikali katika uokoaji.Kamati ya maafa Huwa inatafuna pesa tu Kila mwaka lakini uharaka wa kutekeleza majukumu katika uokoaji ni zero. Hii ajari ya kariakoo hakustahili hata mtu mmoja kufariki.
Indeed,Ameen
Mpumbavu huyo anajifanya mjuaji kaa story za kijiweni au kwenye whatsappMkiwa kwenye keyboard mnaongea sana,jengo linapoanguka kuna impact ya kuangukiwa na jengo lenyewe hacha waliofukiwa na vifusi. Ajali kama hz hata nchi zilizoendelea zikitokea zinaenda na watu.
Akili hana huyoHata waliochomwa na nondo na kuangukiwa na Tofali?