Ajali ya lori na treni ya abiria Buguruni

Sam Gidori

Senior Member
Joined
Sep 7, 2020
Posts
165
Reaction score
417
Ajali ya Treni imetokea Vingunguti ikihusisha lori lililokuwa limebeba sukari lenye namba za usajili T 278 DQS na treni ya abiria.

- Treni haikuwa na abiria.

Chanzo: Azam TV

 
Dereva wa lori amepona kweli, au treni ilikuwa bado haijapata kasi?
 
Mbona umekuja mbio mbio? Chanzo cha ajali ni kipi?
 
Kichwa cha habari kinasema Buguruni
Main body inasema Vingunguti
Sijui huwa mnawahi wapi mnavyotype uzi
 
... hilo lori/semi urefu wake wote ni fupi kuliko kichwa/engine ya hilo train. Hata liwe fully loaded (50 tons) bado ni jepesi kuliko just single engine ya train. Kila mbabe ana mbabe wake.
50 tons! hiyo lori itatembea ktk barabara gani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…