Ajali ya lori na treni ya abiria Buguruni

Ajali ya lori na treni ya abiria Buguruni

Reli inapita juu kuanzia City Centre hadi Pugu, hakuna kukutana tena
Tumia akili yako vizuri, hiyo reli inapita juu kutoka City center mpaka Morogoro/ Makutupola? Huko mbele hakuna road crossing the railway?
 
Subiri tuje tujionee hii ya 160Km/h watakuja na mkakati gani wa kuzuia hizi ajali kwenye hayo makutano.

Barriers au flyovers!
Kwan si zitakuwa na fensi, hakunaga njia ya kukatisha kwenye treni ya umeme,ndio maana barabara ya MoRo - Dom ipo juu,na barabara za mitaani zimepita chini ya reli.

Ile mashine ikiachiwa ina spidi ya hatari. Sasa huko kilosa kwa wamasai si waweza kuta ng'ombe wanakatisha relini?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu bara bara za bongo mwisho 35 tons
Shukrani Mkuu japo nimebebewa sana saruji toka Tanga Cement na kampuni ya MASCO - Scania 113E semi zile zikibeba mifuko 1000 (tani 50); hili nina uhakika nalo unless walikuwa wanavunja sheria/kanuni au sheria/kanuni zimebadilishwa hivi karibuni.
 
Kwenye mizani wanapopima magari,mwisho huwa tani ngapi ? Kuwa umetenda kosa la kuzidisha uzito?

Sent using Jamii Forums mobile app
Nimebebewa sana saruji toka Tanga Cement na kampuni ya MASCO - Scania 113E semi zile zikibeba mifuko 1000 (tani 50); hili nina uhakika nalo unless walikuwa wanavunja sheria/kanuni au sheria/kanuni zimebadilishwa hivi karibuni.
 
Shukrani Mkuu japo nimebebewa sana saruji toka Tanga Cement na kampuni ya MASCO - Scania 113E semi zile zikibeba mifuko 1000 (tani 50); hili nina uhakika nalo unless walikuwa wanavunja sheria/kanuni au sheria/kanuni zimebadilishwa hivi karibuni.
Tani 50 mara nyingi ni kwenda kwa position mkuu nadhani umeelewa
 
Nimebebewa sana saruji toka Tanga Cement na kampuni ya MASCO - Scania 113E semi zile zikibeba mifuko 1000 (tani 50); hili nina uhakika nalo unless walikuwa wanavunja sheria/kanuni au sheria/kanuni zimebadilishwa hivi karibuni.
Hapo sijui,lakini hakuna barabara ya TZ utapita na tani 50 ukaachwa salama. Lazima upaki pembeni.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Subiri tuje tujionee hii ya 160Km/h watakuja na mkakati gani wa kuzuia hizi ajali kwenye hayo makutano.

Barriers au flyovers!
Hakuna hata sehemu moja barabara itakutana na reli. Sehemu zote mojawapo itapita juu au chini.
 
Wasipo angalia hiyo ya mwendokasi watakuja shitukia ipo ziwani Tanganyika au Victoria kama meli vile
 
Ajali ya Treni imetokea Vingunguti ikihusisha lori lililokuwa limebeba sukari lenye namba za usajili T 278 DQS na treni ya abiria.
- Treni haikuwa na
Chanzo: Azam TV

Hawa madereva wa train Hana uzalendo kabisa. Yaani kaharibu gari la watu kaharibu kichwa cha train. Huyu anatakiwa awekwe ndani.
 
... ni net weight ... of course lori zinatofautiana capacity. Zile Fiat za zamani 682 (almaarufu "mbaula") capacity zao ni 600 bags (30 tons); Sacania 113E capacity ni 1000 bags (50 tons). Hizi za wachina akina Howo sina hakika nazo sana. Nimepiga kazi zaidi na hizo mbili nilizo-mention mwanzo.

Hoja ya msingi, 50 tons zitapita barabara gani? JIBU: Zipo gari za capacity hiyo na zinapita barabarani.
sawa sawa
 
Bavicha hawajaondoka na sukari hapo?
No naona shem yuko hapa anagombania sukari ila dah mbn yuko na khanga moja...
Hko backside ndembendembe.....

Ukimuona usimwambie bwasheh usijempandishiaa [emoji23][emoji23]

Ova
 
Hawa madereva wa train Hana uzalendo kabisa. Yaani kaharibu gari la watu kaharibu kichwa cha train. Huyu anatakiwa awekwe ndani.
Sehemu zenye misongamano kama Buguruni, Vingunguti, n.k. ambapo reli ina-cross panakuwa na washika vibendera kusimamisha magari kama kuna treni inakaribia. Itakuwa huyu wa lori alileta ujuaji. By the way, treni huwa haligongi, always lenyewe ndio huwa linagongwa.
 
Back
Top Bottom