Hiyo 50 tons ni gross weight au net weight? maana ninavyojua lori la saruji linapakia 600 bags sawa na 30 tons na hiyo nimeambiwa na dereva kabisa wa lori la saruji hapa wazo twiga cement hata Yale ya mafuta yanapakia 30 to 32 tons.... mbona kawaida sana. Unafikiri yale malori ya Dongote yanabeba saruji mifuko mingapi? Yanabeba 1000 bags * 50 kg = 50 tons.