Hiyo 50 tons ni gross weight au net weight? maana ninavyojua lori la saruji linapakia 600 bags sawa na 30 tons na hiyo nimeambiwa na dereva kabisa wa lori la saruji hapa wazo twiga cement hata Yale ya mafuta yanapakia 30 to 32 tons.... mbona kawaida sana. Unafikiri yale malori ya Dongote yanabeba saruji mifuko mingapi? Yanabeba 1000 bags * 50 kg = 50 tons.
... ni net weight ... of course lori zinatofautiana capacity. Zile Fiat za zamani 682 (almaarufu "mbaula") capacity zao ni 600 bags (30 tons); Sacania 113E capacity ni 1000 bags (50 tons). Hizi za wachina akina Howo sina hakika nazo sana. Nimepiga kazi zaidi na hizo mbili nilizo-mention mwanzo.Hiyo 50 tons ni gross weight au net weight? maana ninavyojua lori la saruji linapakia 600 bags sawa na 30 tons na hiyo nimeambiwa na dereva kabisa wa lori la saruji hapa wazo twiga cement hata Yale ya mafuta yanapakia 30 to 32 tons.
Kumekuchaaa ..Bavicha hawajaondoka na sukari hapo?
Yanabeba 600 kiongozi.... mbona kawaida sana. Unafikiri yale malori ya Dongote yanabeba saruji mifuko mingapi? Yanabeba 1000 bags * 50 kg = 50 tons.
... labda kama kuna mabadiliko miaka ya hivi karibuni sana. Nimefanya kazi na Fiat 682 saruji mifuko 600 (30 tons) na Scania 113E mifuko 1000 (50 tons). Kama kuna mabadiliko ya kanuni za usafirishaji sawa; I am not aware of that.Nadhani barabara zetu mwisho Tani 30
Shukrani Mkuu; ila nimepiga sana kazi na Fiat 682 (mifuko 600 - 30 tons) na Scania 113E (mifuko 1000 - 50 tons). Kama kuna mabadiliko ya kanuni za usafirishaji niko tayari kusahihishwa. Ila for real, Scania 113E ndio ilikuwa capacity yake barabarani.Yanabeba 600 kiongozi.
Reli inapita juu kuanzia City Centre hadi Pugu, hakuna kukutana tenaSubiri tuje tujionee hii ya 160Km/h watakuja na mkakati gani wa kuzuia hizi ajali kwenye hayo makutano.
Barriers au flyovers!
Hahahaaaa..........!Kumekuchaaa ..
We jamaa kuna kipindi akili zinatulia alafu kuna kipindi kipa anatoka[emoji848][emoji848]
... hivi treni lina usukani?hao madereva wa treni wanaendesha hovyo sana hawako makini na ukute hapo alikuwa anaovatake
Kabisa, wapangiwe speed maana kuna saa wa nakuwa kama wa nawahi abiria! Hawana tofauti na coaster za bugurunihao madereva wa treni wanaendesha hovyo sana hawako makini na ukute hapo alikuwa anaovatake
Mateja, na wadada wa Uswahilini ambao wote ni wafuasi wa CCM wameiba viroba vya sukari kwenye tukio hili la ajaliBavicha hawajaondoka na sukari hapo?
Na wewe umehoji mbio mbio kama unayemkosoa. Treni imegongana na lori. Halafu unauliza chanzo cha ajali. Unataka kusikia kama treni ilizidisha mwendo au chanzo gani hasa unataka kukijua?Mbona umekuja mbio mbio? Chanzo cha ajali ni kipi?
ndio we unazani linakataje kona... hivi treni lina usukani?
linapitaga speed kali sana pale tazara uku watu wananbembea madilishaniKabisa, wapangiwe speed maana kuna saa wa nakuwa kama wa nawahi abiria! Hawana tofauti na coaster za buguruni
Wewe naye umekuja mbio mbio kunihoji bila kutafakari. Treni ina njia yake na lori lina njia yake, vipi vigongane ikiwa kila chombo kina njia yake?.chanzo kilichopelekea patokee huo mgongano ni kipi? Ndicho nataka kujuaNa wewe umehoji mbio mbio kama unayemkosoa. Treni imegongana na lori. Halafu unauliza chanzo cha ajali. Unataka kusikia kama treni ilizidisha mwendo au chanzo gani hasa unataka kukijua?
... nachojua linafuata tu reli na penye junction ya reli sio kazi ya dereva kuamua afuate ya upande upi kama ilivyo kwa magari, bali shunting (kubadili njia ya reli) inakuwa imefanywa na ground operators treni "linatiririka" tu kufuata available path.ndio we unazani linakataje kona
Wewe huna hulijuwalo, hapo ni treni ndio imegongwa.Na wewe umehoji mbio mbio kama unayemkosoa. Treni imegongana na lori. Halafu unauliza chanzo cha ajali. Unataka kusikia kama treni ilizidisha mwendo au chanzo gani hasa unataka kukijua?