Fundi Mchundo
Platinum Member
- Nov 9, 2007
- 10,448
- 8,705
Big Up for your Clear and short but educative Comments!Afadhar mleta uzi amekuja kiweredi!
Ila watanzania kuna mifumo yetu ya ufikiri haifanyi kazi vizuri. Tunahitaji overhaul!
HAIWEZEKANI KATIKA AJARI HII TUKAJIKITA KWA SUALA LA MAJALIWA NA MLANGO NA KUACHA MAMBO YA MSINGI ILI ISIJIRUDIE TENA! na KUWAJIBISHANA...
Hizo taa sio kwa Category ya kiwanja cha BK...ndio maana kipo Category 3CKitu anbacho sijasikia ni nafasi ya Air Traffic Controllers. Ninachojua ( niko tayari kusahihishwa) ni kuwa hawa ndio wanaotoa kibali kwa rubani kutua au kupaa kwenye uwanja wa ndege.
Hawa wanatikiwa kujua kinachoendelea kwenye kiwanja hata kama wako Mwanza maana teknoloji za siku hizi kuona kutokea mbali sio tatizo.
Aidha, nadhani kuna taa na transmitter ambazo huwa zinawekwa kwenye runway ili kuiongoza ndege kama haionekani.
Amandla...
Inaelekea uko fixated na Categories. Vinavyowekwa kwenye category ni vitu minimum vinavyohitajika. Kwa mfano nyumba yenye ghorofa pungufu ya nne hailazimiki kuwa na lifti. Lakini kama una ulemavu (hata ka ma huna) hauzuiwi kuweka lifti( kwenye nyumba yako ya ghorofa moja. Hivyo TAA haitaadhibiwa ikiweka threshold na edge light katika uwanja cha category 3C kama cha Bukoba ambacho mara nyingi visibility ya runway ni tatizo. In fwakt wao wenyewe wanasema kama kiwanja kina historia ya low visibility ni shurti kiwekwe Touchdown Zone lights hata kama ni cha Category 3C. Viwango ni vya ujumla lakini kila wakati vinaruhusu mabadiliko katika mazingira maalum.Hizo taa sio kwa Category ya kiwanja cha BK...ndio maana kipo Category 3C
Wameanza kutoa ajira katika jeshi la Zimamoto na Uokoaji. Kama jina lilivyo mara nyingi maamuzi yao huwa ya zimamoto tu.Hayo mambo yote uliyoyataja ni theory tu na hayatumiki Tanzania, tungeanza na bajeti, Serikali inatenga bajeti kiasi gani kwa kikosi cha uokoaji na usalama wa wananchi hata tu kwenye huo uwanja? Meneja wa Uwanja ana bajeti kiasi gani kwa ajili ya dharura?
Serikali imetumia Mabilioni kwa ajili ya matabgazo tu ya majibu sensa.
Serikali KUU inawajibika kwa yaliyotokea kwa 100% kwani walipaswa kuokoa watu na siyo sijui vidagaa kama Meneja wa Kiwanja, shida iko kwa Kiongozi Mkuu na siyo vidagaa!
Swali langu kwako Meneja wa Uwanja ana bajeti ya kiasi gani kuweza kutoa huduma za dharura? Je, ana vifaa na manpower yenye ujuzi wa kutosha kudili na maafa?
Hahaha kutoka siasa hadi urubaniBarafu habari ya siku Rubani Mwenzangu[emoji112]
Hawa watu wenye ujuzi na mambo ya Usimamizi wa miradi ya ndege ndio wanapewa kupewa vitengo. Lakini hapa kwetu si ajabu kukuta mtu anayesimamia viwanja vya ndege hana utaalam wowote na mambo ya ndege! Barafu mama kuonesha akupe majukumu akutoe huko uliko!
🤣🤣Hahaha kutoka siasa hadi urubani
Sijawa na uraibu wa kategoria,nadhani nilikuwa najaribu tu kufafanua kuwa kwa BK kuwa tu hiyo kategoria maanake hizo recommended standards ulizoainisha ni ndoto.Hivyo kuwa tu ni kiwanja kinacho-operate toka mawio mpaka machweo,maanake hizo standard haina.Mengine uliyoandika ni sahihi pia...sijapingaInaelekea uko fixated na Categories. Vinavyowekwa kwenye category ni vitu minimum vinavyohitajika. Kwa mfano nyumba yenye ghorofa pungufu ya nne hailazimiki kuwa na lifti. Lakini kama una ulemavu (hata ka ma huna) hauzuiwi kuweka lifti( kwenye nyumba yako ya ghorofa moja. Hivyo TAA haitaadhibiwa ikiweka threshold na edge light katika uwanja cha category 3C kama cha Bukoba ambacho mara nyingi visibility ya runway ni tatizo. In fwakt wao wenyewe wanasema kama kiwanja kina historia ya low visibility ni shurti kiwekwe Touchdown Zone lights hata kama ni cha Category 3C. Viwango ni vya ujumla lakini kila wakati vinaruhusu mabadiliko katika mazingira maalum.
Amandla...
Kuokoa maisha ya abiria ni ndoto? Ukishasema recommended tayari ina maana unaweza kuongeza. Hizo taa ni za kufanya runway ionekane wakati mwanga haupo. Sasa kama kiwanja kinakawaida ya kuwa na fog kiasi kuwa hakionekani utakataa kuweka taa kwa sababu tu haulazimiki? Unaona bora uwekeze kwenye mavieti kuliko vitu ambavyo vinaweza kuokoa maisha? Kwa bahati mbaya mawazo kama hayo ndio yanatawala. Maisha kwetu hayana thamani.Sijawa na uraibu wa kategoria,nadhani nilikuwa najaribu tu kufafanua kuwa kwa BK kuwa tu hiyo kategoria maanake hizo recommended standards ulizoainisha ni ndoto.Hivyo kuwa tu ni kiwanja kinacho-operate toka mawio mpaka machweo,maanake hizo standard haina.Mengine uliyoandika ni sahihi pia...sijapinga
Mkuu mbona unaongea na mimi kama ndio mwenye dhamana na mamlaka?Punguza munkali...Sihusiki kwa lolote katika kutoa maamuzi.Hapa tunabadilishana tu mawazoKuokoa maisha ya abiria ni ndoto? Ukishasema recommended tayari ina maana unaweza kuongeza. Hizo taa ni za kufanya runway ionekane wakati mwanga haupo. Sasa kama kiwanja kinakawaida ya kuwa na fog kiasi kuwa hakionekani utakataa kuweka taa kwa sababu tu haulazimiki? Unaona bora uwekeze kwenye mavieti kuliko vitu ambavyo vinaweza kuokoa maisha? Kwa bahati mbaya mawazo kama hayo ndio yanatawala. Maisha kwetu hayana thamani.
Amandla...
Munkali iko wapi? Mimi hapa najibu hoja ulizoleta wewe mtaalam wala sio za wenye dhamana na mamlaka. Ndio maana nimestuka uliponiambia kuweka taa za tahadhari ni ndoto.Mkuu mbona unaongea na mimi kama ndio mwenye dhamana na mamlaka?Punguza munkali...Sihusiki kwa lolote katika kutoa maamuzi.Hapa tunabadilishana tu mawazo
Tofauti yako na barafu ipo katika hili! Yeye anaongelea hali halisi ilivyo on the ground na wewe unaongelea jinsi ilivyopaswa kuwa. Yaani recommendations baada ya tatizo.Munkali iko wapi? Mimi hapa najibu hoja ulizoleta wewe mtaalam wala sio za wenye dhamana na mamlaka. Ndio maana nimestuka uliponiambia kuweka taa za tahadhari ni ndoto.
Mimi sina uwezo wa kuwafikia wenye mamlaka ya kutoa maamuzi. Uwezo wangu unaishia humu humu tu.
Amandla..
Una wazimu si bure! Unaambiwa bila msaada wa kasia huo mlango usingefunguka! Hapo MAJALIWA siyo wa muhimu?Ukiondoa mambo ya Categories na taratibu za ujumla za usafiri wa anga, mambo mengi aliyoandika mleta mada ni mambo ya kufikirika, maoni yake na siasa.
Kuhusu Majaliwa, mleta mada amerudi kulekule (kumzungumzia) kama watu wengine pia aliowakosoa kuwa wanapoteza muda kumzungumzia Majaliwa, hivyo mleta ameharibu mantiki ya hoja yake.