PM ni mkuu wa kitengo cha uokoaji, that bucket stop at its door, ndege kuvutwa na kamba, no life saving boats, kutoa kauli za uongo including nani hasa alifungua ule mlango wa ndege etc etc
Huenda shida yako ikawa n uelewa Mdogo juu ya haya Mambo.
1. Waziri mkuu n msimamizi wa mfuko wa maaafa yaan wanufaika na janga Kama njaa, mafuriko, tetemeko, gonjwa kubwa mpaka kuwa janga lakini sio ajali ya ndege, meli au basi. Hvyo hao wanaotakiwa kufidiwa Basi ofisi ya Waziri mkuu inausika.
2. Uokoaji Kuna jeshi lipo la uokozi na kila mkoa na sehemu zenye viwanja vinavypokea ndege na meli walau Mara kadhaa kwasiku basi hao watu wapo hapo Hawa hawapo chini ya ofisi ya Waziri mkuu Bali wapo wizara ya Mambo ya ndani Kuna muda wanapelekwa Ile wizara ya jafo nakuwa wanawajibika kwenye halmashauri.
3. Ndege kuvutwa na kamba sio kosa la PM hilo swala soon Kama n shida kuvutwa na kamba sa sijui ulitaka ivutwe na nn?
4. Wizara ya uchukuzi ndio ya kuhakisha usalama wa abiria unaxingatiwa kabla na baada ya safari kupitia taasisi zake Kama ilivyoamua Sasa hapo anaesimamia uwanjani wa bukoba anastahili kuwajibishwa anaesimamia kutoa vibali vya kurusha ndege nae Anawajibika.
5. Precision Anawajibika kwa kutumia mazoea kutua uwanjani huku akiwa na abiria.
6. Huyo dogo alivyizimia na kupelekwa hospital na kufahamika kuwa n mmoja wa waokozi kulinganisha na umri na jina pia ongeza na nyota sikuhyo ilkua yake.
Tanzania Kuna kitu kinaitwa
1. Uwezo Mdogo wa kufikiri
2. Uwezo Mdogo wa kung'amua jambo
3. Uwezo Mdogo wa kujenga hoja
4. Uvivu
5. Wivu
6. Roho ya kwanini
7. Kutafuta kasababu ka kijinga na kufanya ndio hoja kuu.
8. Chuki zisizo na msingi Yan unaa unaa tuu.
Waziri Mkuu au Rais Anawajibika endapo
1. Serikali kupitia wananchi imekosa usalama
2. Serikali kupitia wananchiimekubwa na njaa
3. Serikali inamigogoro isiyoeleweka iwe ya ndan au nje
4. Serikali imeshindwa kutoa huduma muhimu Kama afya na elimu
5. Matumizi mabaya ya ofisi
6. Serikali imeshindwa kulipa mishahara watumishi
7. Serikali imeshindwa kudhibiti mfumuko wa Bei
8. Serikali kukosa/kushindwa kupata ushawishi bungeni.
Hapo ndo Rais au Waziri mkuu anatakiwa aachie ofisi au alazimishwe kuachia ofisi
Naomba niishie hapo