Ajali ya Precision Air: Ripoti yabaini hakuna Control Tower, Boti za Uokozi zilichelewa, Mhudumu na Abiria ndio waliofungua mlango

Hii ni report ya awali...ile ya black box itakuja baadae na chanzo halisi na mapendekezo...Ukiisoma hii ripoti imesema uchunguzi wa chanzo is ongoing.
Sasa kama uchunguzi unaendelea kulikuwa na haraka gan YA kuitoa hiyo report?
 
Elewa hiyo ripoti haijatolewa na Shirika la ndege la Precision bali ni ripoti ya serikali

Huo ni uchunguzi wa awali wa serikali kuhusiana ajali ya ndege ya Precision Air.
 
kwa hio kitalaam Majaliwa tunamwitaje ?

tatizo Tanzania siasa mpaka kwenye maisha ya watu
Tukubaliane tu lisha tokea tugange yajayo,haina haja ya kumtafuta mchawi, wahusika watimize majukumu yao,na hakuna haja ya kuwafatilia wao ni watu wazima!!!
 
Hakukuwa na vest mkuu,nchi hii ina uzembe sana
 
Kwani hii ni ripoti ya precision au ya wizara?
 
Haina rivasi hio bahati yake

QUOTE="dronedrake, post: 44403897, member: 191330"]
6m anarudisha au?
[/QUOTE]
 
Ilikuaje rubani akatue bila kuona runway kama ipo clear
 
Ww unayeelewa tujuze
Umenena vyema...
Ripoti hizi zinatolewa kwa mujibu wa sheria ambapo preliminary report inatolewa siku 14 baada ya ajali. Hii preliminary report ndio hii ambayo imetolewa jana.

Comprehensive report inatolewa baada ya miezi 12. Hii inakuwa imesheheni kina cha ajali kwa undani na mapendekezo ili kuzuia ajali nyingine.

Kwa kifupi uchunguzi wa kina bado unaendelea.
 
Majaliwa sio mvuvi, hakuwa hata na mtumbwi isipokuwa alipanda moja ya mitumbwi ilikuwa ikielekea kuokoa, mtumbwi wa kwanza ulifika pale dak 5 baada ya abiria wengi kuwa weshatoka wako majini wanangoja kuokolewa

Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
 
Huyu dogo Majaliwa kweli ana tabia typical za kihaya za kujimwambafai na utapeli, yaani mlango wa ndege unaofunguka kwa nje yeye anasema ndiye aliufungua kwa kasia la mtumbwi wake.
Wamelishwa matango pori na zito..report ya serikali haijatoka..ufipa na wajinga wenzao wameingia kichwa kichwa.lini report ikazungumzia ubishi wa nani alifungua mlango.

Yaani hii nchi ina wanasiasa wajinga kupita maelezo
 
Unavyoshupaa kama wewe ndio umeitoa hio report.serikali imekanusha haijatoa report..hayo ni Matango pori ya zito na tweet zake
 
Unaishi nae chumbani kwake?
Maana unajifanya unamjua sana
 
Sawa mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…