Ajali ya Precision Air: Ripoti yabaini hakuna Control Tower, Boti za Uokozi zilichelewa, Mhudumu na Abiria ndio waliofungua mlango

Ajali ya Precision Air: Ripoti yabaini hakuna Control Tower, Boti za Uokozi zilichelewa, Mhudumu na Abiria ndio waliofungua mlango

Elewa hiyo ripoti haijatolewa na Shirika la ndege la Precision bali ni ripoti ya serikali,
Huo ni uchunguzi wa awali wa serikali kuhusiana ajali ya ndege ya Precision Air.
thibitisha hii kauli

serikali yenyewe inakanusha
 
IMG-20221123-WA0221.jpg
 
Mhudumu mmoja wa ndege hiyo pamoja na abiria mwingine ndiyo walihusika kufungua mlango, kisha abiria huyo alisimama kuzuia mlango ili usijifunge ili abiria wengine waweze kutoka na kuingia kwenye mitumbwi ya wavuvi.
Chalamila na Majaliwa PM wametuhadaa mwezi mzima kutengeneza kick.

Mashaka ya Kassim kukomalia promo ile yalikuwa sahihi..!
 
Which is which
Ila pia ni bahati kuipata the same day, huko mbele huwa zinapoteaga hata wiki au mwezi, au nasema uongo ndugu zangu?
 
Chalamila ni mpumbavu sana kusema aliongea na rubani huku suala la shujaa Majaliwa ni uzushi na uongo wa serikali ya Samia na Kassim Majaliwa
Labda ni kama ile JPM anachapa kazi wakati yuko ICU kama siyo kwenye frige.

tunaitaji kubadirika aisee kama tunataka maendeleo kwa vizazi vyetu. vya baada ya miaka 50.tofauti na Mwafrika ,mzungu yeye huwa anawaza maisha ya baada ya miaka 50.sisi tunawaza ugali wa siku moja.
 
Chalamila ni mpumbavu sana kusema aliongea na rubani huku suala la shujaa Majaliwa ni uzushi na uongo wa serikali ya Samia na Kassim Majaliwa
Kumbuka huyu juha alisema ameongea na Magufuli na ni mzima wakati Magufuli akiwa hajitambui.
 
 
Walioitoa na TCAA ( Mamlaka ya Anga)! Kuzindua anakuja kuzindua Waziri kisiasa sio issue! Report ni yenyewe atakama waliikana jana yake ila siku iliyofuata wakaizindua hapa inatuonyesha tu kuwa tuna viongozi ambao ni EMPTY
 
Back
Top Bottom