Kwema mkuu😊🙌🏿Inafurahisha sana..
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwema mkuu😊🙌🏿Inafurahisha sana..
Aliwaingiza mjini 😆
Novemba 9, 2022, Ndege ya Precision Air iliyokuwa inasafiri kutoka Dar es Salaam kwenda Bukoba ilipata ajali pembezoni mwa ziwa Victoria, karibu kabisa na uwanja wa Ndege wa Bukoba.
Mie binafsi najua ni Maja mnyama, sitaki version nyingine
Huwezi kurusha ndege bila bima.ATCL ivi zimekatiwa bima kweli au yakikukuta unachangisha ukoo?
Jamanii
Bongo ujinga hauishi...Ukweli umefahamika kuhusiana na chanzo cha ajali na Uzembe mkubwa uliopelekea maisha ya watu Kupotea.
Na pia kikosi kilipokuja masaa 4 baadaye kilikuja kikiwa hakina mitungi ya oxygen. Hivyo kikawa nacho kimekuja kushuhudia tukio.
View attachment 2424507
Hatupokei taarifa hii feki
Kampuni ya precision bangiii ,wale I tu eti wanamlaumu majaliwa kwani majaliwa anahusikaje na ujinga wao ??
Hawana akili hao wao ndio walipaswa kuweka mambo Yao sawa wameua watu watu Kisa uzembe wanasingizia serikali wapuuzi labda ingekuwa air Tanzania maana ndio ya serikali wameniboa au walitaka kutoa wenzao sadaka wapate wateja wengi
Kwa ujumla wanakiri kwamba serikali haikutoa msaada wo wote ila picha zilionekana mitandaoni watumishi wa serikali (wanajeshi & polisi) wakishuhudia wananchi wakiokoa wahanga wa hiyo ajali.
Na huyo Majaliwa ambae nyota imeng’aa mbona hiyo report haimtambui hata kwa kumtaja tu au kumshukuru?