Ajali ya Precision Air: Ripoti yabaini hakuna Control Tower, Boti za Uokozi zilichelewa, Mhudumu na Abiria ndio waliofungua mlango

Ajali ya Precision Air: Ripoti yabaini hakuna Control Tower, Boti za Uokozi zilichelewa, Mhudumu na Abiria ndio waliofungua mlango

KC wa ACT Zitto Kabwe amesema ameisoma ripoti ya Serikali kuhusu ajali ya Precision Air na hakuna sehemu yoyote inayomtaja Mvuvi Majaliwa kuwa aliokoa ila Muhudumu na Abiria ndio wanatajwa kuokoa

Zitto Kabwe ameitaka Serikali kuwachukulia hatua kali Watumishi waliozembea kutimiza wajibu wao

Mlale unono kesho nayo ni siku!
 
Kitu ambacho achilia mbali kwamba abiria sijui mfanyakazi wa ndege walifungua mlango wa ndege kwa ajali ile ya ndege na dege kukatika vipande viwili wote waliopona Kwenye ndege akili mpaka zikae sawa itachukua miaka mitano mpaka 10
 
Hivi black box kazi yake ni nini? Na hyo ripoti imengalia vitu gan mpak kuja na majibu ya hvyo , duniani kote ripoti za ajali ya ndege primary data ni black box , kwenye hii ya kwetu hata black box haitajwi
 
Hivi black box kazi yake ni nini? Na hyo ripoti imengalia vitu gani mpaka kuja na majibu ya hvyo , duniani kote ripoti za ajali ya ndege primary data ni black box , kwenye hii ya kwetu hata black box haitajwi
Ngoja Barafu aje
 
Kwahivyo Majaliwa kasafiria Nyota ya mwingine..!
 
Back
Top Bottom