Ajali ya Precision Air: Ripoti yabaini hakuna Control Tower, Boti za Uokozi zilichelewa, Mhudumu na Abiria ndio waliofungua mlango

Haisaidii, watu walishakufa na wengine walishaibuka kupitia hilo, kufukua makaburi wakati mwingine ni uchochezi.
 
Kampuni ya precision bangiii ,wale I tu eti wanamlaumu majaliwa kwani majaliwa anahusikaje na ujinga wao ??

Hawana akili hao wao ndio walipaswa kuweka mambo Yao sawa wameua watu watu Kisa uzembe wanasingizia serikali wapuuzi labda ingekuwa air Tanzania maana ndio ya serikali wameniboa au walitaka kutoa wenzao sadaka wapate wateja wengi
 
Kwa ujumla wanakiri kwamba serikali haikutoa msaada wo wote ila picha zilionekana mitandaoni watumishi wa serikali (wanajeshi & polisi) wakishuhudia wananchi wakiokoa wahanga wa hiyo ajali.

Na huyo Majaliwa ambae nyota imeng’aa mbona hiyo report haimtambui hata kwa kumtaja tu au kumshukuru?
 
Bongo ujinga hauishi...
Kutokuwa na control tower sio hoja, kuna viwanja vingi bongo havina control tower na uongozaji upo.

Issue ni decision making as quoted from the report; "Given this type of weather at Bukoba airport, the pilot
should have chosen to divert to Mwanza or to circle around until the weather condition improved."
 

Mbona majaliwa hajatajwa kwenye ripoti?
 
K
Kikosi kilikuja baada ya masaa manne na nusu baada ya ajali kutokea.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…