othuman dan fodio
JF-Expert Member
- Jan 2, 2018
- 6,850
- 11,033
Shujaa wa mchongo [emoji3061]Hivi ishu hapa ni kufungua mlango WA ndege au uokoaji?
Kama ni uokoaji na ambalo ndio muhimu basi Majaliwa bado anastahili pongezi Sana Kwa uthubutu wake wa kuongoza kikosi cha uokoaj...
nacheka kama mazuri [emoji2]Kwa huu uharibifu isingewezekana marubadi kuwa hai hata kwa dakika 5 ila majaliwa anasema aliwapungia mkono kuwaagaView attachment 2424382
Embe wacha hizo yaani unaniamuru nisome tena report? Nimesoma nikaona ni ujinga hicho sio kilichotokea, hii report ya kupika hawasemi kabla ya landing nini kilitokeaSidhani kama umeisoma report, kama umeisoma nenda kaisome vizuri kwa mala nyingine, rubani hakupeleka ndege ziwani, uwanja ulishaonekana hivyo wakaamua kutua...
Kwa hapa Tanzania anga si inamilikiwa na serikali, itakua kweli isipokua international flights.Huwezi kurusha ndege bila bima.
Hii nchi ina wataalamu wa hovyo kweli, hivi kweli hii tunaita investigation report? report inaongelea kwa mujibu wa mashuhuda? mimi nilidhani report ...
Duh..hiyo taarifa aliyoitoa kwamba anatua majini alikupatia wewe pekeako? ukiogopa kupanda ndege si utakuwa mwendawazimu sababu ndo usafiri salama kuliko vyote, hakuwa na sababu ya kwenda Mwanza sababu wingu zito na fog vilikuwa vimepungua na uwanja ulikuwa unaonekana nadhani ndo sababu akaishusha ndege, mahali ndege ilipotua ni mita 500 tu kutoka uwanja ulipo, unataka kutuambia mafuta ya kukimbia hizo 500m yalikuwa hayatoshi?Embe wacha hizo yaani unaniamuru nisome tena report? Nimesoma nikaona ni ujinga hicho sio kilichotokea, hii report ya kupika hawasemi kabla ya landing nini kilitokea..
Nashangaa kuona ushahidi wote wa Majaliwa umepuuzwa.Chalamila ni mpumbavu sana kusema aliongea na rubani huku suala la shujaa Majaliwa ni uzushi na uongo wa serikali ya Samia na Kassim Majaliwa
Majaliwa bado atakua Shujaa maana ndiyo Mtu wa kwanza kuiona hiyo ajali na kuwataarifu Wavuvi wenzie na kuwai kukimbilia kwenye ajali na kutoa msaada kwa wakati!!Part ya Majaliwa inaweza kuwa mbele mbele huko[emoji16]
Tayari ni shujaa kaairisha ziara kaenda kwenye tukio wakati hangaya yupo anaupiga mwingi!Majaliwa bado atakua Shujaa maana ndiyo Mtu wa kwanza kuiona hiyo ajali na kuwataarifu Wavuvi wenzie na kuwai kukimbilia kwenye ajali na kutoa msaada kwa wakati!!
Wakati mwingine muwe mnauliza kwanza vitu msovijua muelimishwe badala ya kukurupuka tu na kuanika ujinga wenu kwa watu, reports za ajari za ndege zinapashwa kuwa 3, hii ni ya 2, hiyo unayoitaka wewe ni ya mwisho na itatoka baada ya mwaka hadi miaka miwili.Hii nchi ina wataalamu wa hovyo kweli, hivi kweli hii tunaita investigation report? report inaongelea kwa mujibu wa mashuhuda?
mimi nilidhani report ya kitaalamu lakini inakuja na yaleyale story mia kidogo hazina jipya huyu alitoa taarifa hii inabidi atafutiwe kazi nyingine ya kufanya hata ya kugawa chai ofisini...
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Majawa anakamba sana, ila maisha akiliKwa huu uharibifu isingewezekana marubadi kuwa hai hata kwa dakika 5 ila majaliwa anasema aliwapungia mkono kuwaagaView attachment 2424382
Page ya majaliwaa iko further investigation,,,,,,[emoji23][emoji23][emoji23]
Sasa na wewe hii kwa akili yako unaita report? kuna nini kipya tusichokijuwa humuWakati mwingine muwe mnauliza kwanza vitu msovijua muelimishwe badala ya kukurupuka tu na kuanika ujinga wenu kwa watu, reports za ajari za ndege zinapashwa kuwa 3, hii ni ya 2, hiyo unayoitaka wewe ni ya mwisho na itatoka baada ya mwaka hadi miaka miwili.
Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
Hiyo report mbona haina kiwango utafikiri imeandikwa na wanafunzi wa secondary school.Hapana Mkuu,
Kila kitu kwenye aviation kiko wazi. Zipo Regulations na procedures za kutua na kutake-off kwenye unmanned aerodromes (airports).
Mfano ni hiyo frequency ya 118.2 MHz iliyotajwa kwenye ripoti.
For more information;
Soma line ya mwisho ya hiyo report.Kwa huu uharibifu isingewezekana marubadi kuwa hai hata kwa dakika 5 ila majaliwa anasema aliwapungia mkono kuwaagaView attachment 2424382
Kabisa aliendika hii report ni kama alikaa ofisini akafungua zile clip za story ya kila mtu akaunganisha katuma kaonekana kafanya kazi yake kamaliza. hakuna hata moja ukasema hili jipya tulikuwa hatujui.Umeongea ukweli mtupu....
Hii report ukiangalia kwa jicho lingine si ya kweli hata kidogo.
Report ya kweli ni ya Majaliwa period...ndege ilivyoinama vile na panic ile mlango kupush from inside watu wawili pekee yake ni ngumu lazima nguvu nyingine ya nje kidogo itumike.
Majaliwa aliongea ukweli mtupu...mapilot walikuwa hai..sema jamaa walikataa kumpa vishoka...hakuachia hapo na akajaribu kufungua mlango kwa kamba ndio ikamuumiza akazimia akapelekwa kwa hospital.
Ila hio report inaongea version ambayo haiendani na uhalisia...hata ukijaribu kutumia imagination there is something not right kwa kweli.
Msichokijua wewe na nani? mmeo? mlikuwa mnajua kwamba ndege ilikuwa ikielekea kutua kwenye run way ghafla kukatokea mtikisiko na ndege kugeua na kuangukia ziwani?Sasa na wewe hii kwa akili yako unaita report? kuna nini kipya tusichokijuwa humu
Wese Kidebe ni hatari sana kwa vyombo vya Moto, na unaweza uwa hata fuel pump yako!!Embe wacha hizo yaani unaniamuru nisome tena report? Nimesoma nikaona ni ujinga hicho sio kilichotokea, hii report ya kupika hawasemi kabla ya landing nini kilitokea
Hiyo report ni ya kibiashara zaidi ili watu wasiogope kupanda ndege.
Na kama unategemea utapewa report ya ukweli kuhusu tukio lilivyokuwa kuwa sahau.endelea kusoma report.
Iko hivi, ndege rubani aliipeleka ziwani taratibu kabisa hakikuwa ni kitu cha gafla ni kitu walichokijadili na waongoza ndege.
Maamuzi la kutua huwa ni ya rubani ile ndege haikuingia uwanjani sijui kukatokea nini hicho unachokisema.
Ileletwa majini tena karibu na nchi kavu akitarajia watu kuokolewa kwa haraka na taarifa alitoa.
Hicho unachosema hakijulikani kilichotokea, kinajulikana basi tu ni kupoza watu machungu.
Yule rubani hakuwa njinga. Basi tu ni kwakuwa alishakufa.
Think big jiulize kwa nini hakurudi mwanza? Mbona juzi air tanzania imerudi mwanza?