Embe wacha hizo yaani unaniamuru nisome tena report? Nimesoma nikaona ni ujinga hicho sio kilichotokea, hii report ya kupika hawasemi kabla ya landing nini kilitokea
Hiyo report ni ya kibiashara zaidi ili watu wasiogope kupanda ndege.
Na kama unategemea utapewa report ya ukweli kuhusu tukio lilivyokuwa kuwa sahau.endelea kusoma report.
Iko hivi, ndege rubani aliipeleka ziwani taratibu kabisa hakikuwa ni kitu cha gafla ni kitu walichokijadili na waongoza ndege.
Maamuzi la kutua huwa ni ya rubani ile ndege haikuingia uwanjani sijui kukatokea nini hicho unachokisema.
Ileletwa majini tena karibu na nchi kavu akitarajia watu kuokolewa kwa haraka na taarifa alitoa.
Hicho unachosema hakijulikani kilichotokea, kinajulikana basi tu ni kupoza watu machungu.
Yule rubani hakuwa njinga. Basi tu ni kwakuwa alishakufa.
Think big jiulize kwa nini hakurudi mwanza? Mbona juzi air tanzania imerudi mwanza?