Ajali ya Precision Air: Ripoti yabaini hakuna Control Tower, Boti za Uokozi zilichelewa, Mhudumu na Abiria ndio waliofungua mlango

Ajali ya Precision Air: Ripoti yabaini hakuna Control Tower, Boti za Uokozi zilichelewa, Mhudumu na Abiria ndio waliofungua mlango

Sidhani kama umeisoma report, kama umeisoma nenda kaisome vizuri kwa mala nyingine, rubani hakupeleka ndege ziwani, uwanja ulishaonekana hivyo wakaamua kutua...
Embe wacha hizo yaani unaniamuru nisome tena report? Nimesoma nikaona ni ujinga hicho sio kilichotokea, hii report ya kupika hawasemi kabla ya landing nini kilitokea

Hiyo report ni ya kibiashara zaidi ili watu wasiogope kupanda ndege.
Na kama unategemea utapewa report ya ukweli kuhusu tukio lilivyokuwa kuwa sahau.endelea kusoma report.

Iko hivi, ndege rubani aliipeleka ziwani taratibu kabisa hakikuwa ni kitu cha gafla ni kitu walichokijadili na waongoza ndege.

Maamuzi la kutua huwa ni ya rubani ile ndege haikuingia uwanjani sijui kukatokea nini hicho unachokisema.

Ileletwa majini tena karibu na nchi kavu akitarajia watu kuokolewa kwa haraka na taarifa alitoa.

Hicho unachosema hakijulikani kilichotokea, kinajulikana basi tu ni kupoza watu machungu.

Yule rubani hakuwa njinga. Basi tu ni kwakuwa alishakufa.

Think big jiulize kwa nini hakurudi mwanza? Mbona juzi air tanzania imerudi mwanza?
 
Tanzania kila mahala mnaleta siasa sas mambo ya ajali na siasa vp tena this is rubbish
 
Hii nchi ina wataalamu wa hovyo kweli, hivi kweli hii tunaita investigation report? report inaongelea kwa mujibu wa mashuhuda? mimi nilidhani report ...

Umeongea ukweli mtupu....

Hii report ukiangalia kwa jicho lingine si ya kweli hata kidogo.

Report ya kweli ni ya Majaliwa period...ndege ilivyoinama vile na panic ile mlango kupush from inside watu wawili pekee yake ni ngumu lazima nguvu nyingine ya nje kidogo itumike.

Majaliwa aliongea ukweli mtupu...mapilot walikuwa hai..sema jamaa walikataa kumpa vishoka...hakuachia hapo na akajaribu kufungua mlango kwa kamba ndio ikamuumiza akazimia akapelekwa kwa hospital.

Ila hio report inaongea version ambayo haiendani na uhalisia...hata ukijaribu kutumia imagination there is something not right kwa kweli.
 
Embe wacha hizo yaani unaniamuru nisome tena report? Nimesoma nikaona ni ujinga hicho sio kilichotokea, hii report ya kupika hawasemi kabla ya landing nini kilitokea..
Duh..hiyo taarifa aliyoitoa kwamba anatua majini alikupatia wewe pekeako? ukiogopa kupanda ndege si utakuwa mwendawazimu sababu ndo usafiri salama kuliko vyote, hakuwa na sababu ya kwenda Mwanza sababu wingu zito na fog vilikuwa vimepungua na uwanja ulikuwa unaonekana nadhani ndo sababu akaishusha ndege, mahali ndege ilipotua ni mita 500 tu kutoka uwanja ulipo, unataka kutuambia mafuta ya kukimbia hizo 500m yalikuwa hayatoshi?

Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
 
Majaliwa bado atakua Shujaa maana ndiyo Mtu wa kwanza kuiona hiyo ajali na kuwataarifu Wavuvi wenzie na kuwai kukimbilia kwenye ajali na kutoa msaada kwa wakati!!
Tayari ni shujaa kaairisha ziara kaenda kwenye tukio wakati hangaya yupo anaupiga mwingi!
 
Hii nchi ina wataalamu wa hovyo kweli, hivi kweli hii tunaita investigation report? report inaongelea kwa mujibu wa mashuhuda?

mimi nilidhani report ya kitaalamu lakini inakuja na yaleyale story mia kidogo hazina jipya huyu alitoa taarifa hii inabidi atafutiwe kazi nyingine ya kufanya hata ya kugawa chai ofisini...
Wakati mwingine muwe mnauliza kwanza vitu msovijua muelimishwe badala ya kukurupuka tu na kuanika ujinga wenu kwa watu, reports za ajari za ndege zinapashwa kuwa 3, hii ni ya 2, hiyo unayoitaka wewe ni ya mwisho na itatoka baada ya mwaka hadi miaka miwili.

Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
 
Wakati mwingine muwe mnauliza kwanza vitu msovijua muelimishwe badala ya kukurupuka tu na kuanika ujinga wenu kwa watu, reports za ajari za ndege zinapashwa kuwa 3, hii ni ya 2, hiyo unayoitaka wewe ni ya mwisho na itatoka baada ya mwaka hadi miaka miwili.

Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
Sasa na wewe hii kwa akili yako unaita report? kuna nini kipya tusichokijuwa humu
 
Hapana Mkuu,
Kila kitu kwenye aviation kiko wazi. Zipo Regulations na procedures za kutua na kutake-off kwenye unmanned aerodromes (airports).

Mfano ni hiyo frequency ya 118.2 MHz iliyotajwa kwenye ripoti.
For more information;

Hiyo report mbona haina kiwango utafikiri imeandikwa na wanafunzi wa secondary school.
 
Umeongea ukweli mtupu....

Hii report ukiangalia kwa jicho lingine si ya kweli hata kidogo.

Report ya kweli ni ya Majaliwa period...ndege ilivyoinama vile na panic ile mlango kupush from inside watu wawili pekee yake ni ngumu lazima nguvu nyingine ya nje kidogo itumike.

Majaliwa aliongea ukweli mtupu...mapilot walikuwa hai..sema jamaa walikataa kumpa vishoka...hakuachia hapo na akajaribu kufungua mlango kwa kamba ndio ikamuumiza akazimia akapelekwa kwa hospital.

Ila hio report inaongea version ambayo haiendani na uhalisia...hata ukijaribu kutumia imagination there is something not right kwa kweli.
Kabisa aliendika hii report ni kama alikaa ofisini akafungua zile clip za story ya kila mtu akaunganisha katuma kaonekana kafanya kazi yake kamaliza. hakuna hata moja ukasema hili jipya tulikuwa hatujui.

Kawaida ya binadamu ukiwa unapigana na maisha yako unaona hatari mbele yako unakuwa huwazi sawa mimi muhanga wa ajali ya gari, nilipata ajali ukiniambia imetokea nini hata sijui nakumbuka tu nimefungua macho nimetupwa nje sikumbuki kila kitu.
 
Sasa na wewe hii kwa akili yako unaita report? kuna nini kipya tusichokijuwa humu
Msichokijua wewe na nani? mmeo? mlikuwa mnajua kwamba ndege ilikuwa ikielekea kutua kwenye run way ghafla kukatokea mtikisiko na ndege kugeua na kuangukia ziwani?

Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
 
Hii taarifa nayo imekaa kowaki yes Majaliwa hakufungua Mlango lakini si walipanda boti lake.🚮🚮🚮🚮

Serikali walimtumia Majaliwa kuzima upumbavu wake na nyie tena mmeurejesha mjadala wa Majaliwa pasi na kujua. Hivyo sasa hivi tutajadili Majaliwa tena pasi na kupenda. Haya ndio matatizo ya watu wenye wivu wa kijinga kukaa na kuandaa report.
 
Embe wacha hizo yaani unaniamuru nisome tena report? Nimesoma nikaona ni ujinga hicho sio kilichotokea, hii report ya kupika hawasemi kabla ya landing nini kilitokea

Hiyo report ni ya kibiashara zaidi ili watu wasiogope kupanda ndege.
Na kama unategemea utapewa report ya ukweli kuhusu tukio lilivyokuwa kuwa sahau.endelea kusoma report.

Iko hivi, ndege rubani aliipeleka ziwani taratibu kabisa hakikuwa ni kitu cha gafla ni kitu walichokijadili na waongoza ndege.

Maamuzi la kutua huwa ni ya rubani ile ndege haikuingia uwanjani sijui kukatokea nini hicho unachokisema.

Ileletwa majini tena karibu na nchi kavu akitarajia watu kuokolewa kwa haraka na taarifa alitoa.

Hicho unachosema hakijulikani kilichotokea, kinajulikana basi tu ni kupoza watu machungu.

Yule rubani hakuwa njinga. Basi tu ni kwakuwa alishakufa.

Think big jiulize kwa nini hakurudi mwanza? Mbona juzi air tanzania imerudi mwanza?
Wese Kidebe ni hatari sana kwa vyombo vya Moto, na unaweza uwa hata fuel pump yako!!
 
Back
Top Bottom