Ajali ya Precision Air: Ripoti yabaini hakuna Control Tower, Boti za Uokozi zilichelewa, Mhudumu na Abiria ndio waliofungua mlango

Sawa walifungua... walichukua muda gani kuufungua? Kwa kawaida inahitajika muda kiasi gani kwa mtu kufungua mlango wa ndege?

Majaliwa alikuwa umbali gani wakati ajali inatokea? alichukua muda gani kufika kwenye eneo la tukio? Maswali ni mengi majibu ni machache.
 
Ripoti yabaini uwanja wa ndege wa Bukoba hauna control tower..!!!! Kwamba before this report tulikuwa hatujui..??
 
Daahh sa itakuaje kuhusu shujaa 😳😳😳
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…