Ajali ya Roli Daraja la Ubungo Asubuhi hii

Ajali ya Roli Daraja la Ubungo Asubuhi hii

Hahahah... Alitoka Kimara kufika hapo akataka kuelekea TAZARA kwenye kukunja hiyo kona ndio tela likaamua kujiachia.
hiyo corner inahitaji nidhamu kama mzigo ni mkubwa, tofauti na hapo unaweza kuta horse inaenda buguruni huku teller liinyooka kariakoo.
 
Back
Top Bottom