Ajali ya Roli Daraja la Ubungo Asubuhi hii

Ajali ya Roli Daraja la Ubungo Asubuhi hii

Angekuwa Magu angemwambia hapo anatakiwa ajenge mpk iyo sinyenge aliyopitajayo
Ndio inavotakiwa, anapigiwa hesabu ya hii hasara ya uharibifu wa miundombinu aliyoisababisha.
 
Na alikuwaa anatanua balaa alikuwaa ni kjn mdogo nadhani hafiki 30 yrs ..na alikuwaaa ana haraka sana sio kwa gia zile..kumkariri ali overtake sehem yenye mlima wakat mm nashusha soo ikabd nitoke road apite huku kushoto kulikuwaa na msururu wa malori yapo slow..
Yaani amekwepa sehemu za hatari hatari ila amekuja kuanguka hapo kizembe.

Kiukweli wakati nafika eneo la tukio nilijua ameanguka kutokea darajani.
 
Yote hii ni sababu ya uhaba wa miundombinu, masterplan za ajabu...especially kwenye hicho kitu wanachokiita Ubungo interchange...

Najaribu tu kufikira kwenye nchi za wenzetu, ni lini nishawahi ona downtown kuna lori lenye rumbesa kama hiyo 🤔🤔
 
Na alikuwaa anatanua balaa alikuwaa ni kjn mdogo nadhani hafiki 30 yrs ..na alikuwaaa ana haraka sana sio kwa gia zile..kumkariri ali overtake sehem yenye mlima wakat mm nashusha soo ikabd nitoke road apite huku kushoto kulikuwaa na msururu wa malori yapo slow..
Madogo wanakuaga na saikolojia ya kitoto sana kwamba madereva wengine sio wajanja. Wanadhani wanaendesha Subaru. Ndio maana ule utaratibu wa kwenye mabasi kwamba dereva awe mtu mzima inamaana kubwa sana.
 
Upande wa abiria sawa acha wazee /watu wazima waendeshe!

Lakini mizigo tena ile amsha amsha, wazee pumzi inakata mapema sana.. huwezi kuepuka vijana
 
Back
Top Bottom