JituMirabaMinne
JF-Expert Member
- May 4, 2020
- 3,381
- 9,744
Nasubiri video mkuuNaupload videos soon
Ubungo saiv peupe sana...Hizo mbao jinsi zinavyomezewa mate, ni hatari!
Dakika sifuri, peupe!! Police wawahi
Hio sio ajali bali wrong parkingAlikuwa amebeba mbao.
Inasemekana dereva gari ilimshinda ndio mwisho wa siku trailer likakatika kutoka kwenye kichwa na kuanguka.
View attachment 2064815
Tanroads hapo wanachekelea na fine zao za ajabu ajabuAlikuwa amebeba mbao.
Inasemekana dereva gari ilimshinda ndio mwisho wa siku trailer likakatika kutoka kwenye kichwa na kuanguka.
View attachment 2064815
Jamaa lazima ale fine ya kufa mtu hapo na Tanroads..Angekuwa Magu angemwambia hapo anatakiwa ajenge mpk iyo sinyenge aliyopitajayo
Labda mzigo ulipangwa vibayaalikuwa anawahi kubwaga mzigo akale pilau nyumbani
Hahahah... Alitoka Kimara kufika hapo akataka kuelekea TAZARA kwenye kukunja hiyo kona ndio tela likaamua kujiachia.Hio sio ajali bali wrong parking
Aiseeee htr sana. Hapo hata kukimbia haiwezekani.Tanroads hapo wanachekelea na fine zao za ajabu ajabu
Duh htralafu maeno hayo jana kuna mtu alipasuliwa sijui kama alipona.. yule
Kama kapasuliwa hawezi kuwa haialafu maeno hayo jana kuna mtu alipasuliwa sijui kama alipona.. yule
Aligongwa aualafu maeno hayo jana kuna mtu alipasuliwa sijui kama alipona.. yule
hiyo corner inahitaji nidhamu kama mzigo ni mkubwa, tofauti na hapo unaweza kuta horse inaenda buguruni huku teller liinyooka kariakoo.Hahahah... Alitoka Kimara kufika hapo akataka kuelekea TAZARA kwenye kukunja hiyo kona ndio tela likaamua kujiachia.