Ajali ya Roli Daraja la Ubungo Asubuhi hii

Labda mzigo ulipangwa vibaya
Huenda breki ziligoma ikabidi alazimishe Kona..

Kuhusu kupanga mzigo, achana kabisa na wale vijana wanaopanga.. huenda wana masters degree ya upangaji wa mbao [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Angekuwa Magu angemwambia hapo anatakiwa ajenge mpk iyo sinyenge aliyopitajayo
Ndio inavotakiwa, anapigiwa hesabu ya hii hasara ya uharibifu wa miundombinu aliyoisababisha.
 
Aiseee nadhani almost alikuwa ameshafika.
Na alikuwaa anatanua balaa alikuwaa ni kjn mdogo nadhani hafiki 30 yrs ..na alikuwaaa ana haraka sana sio kwa gia zile..kumkariri ali overtake sehem yenye mlima wakat mm nashusha soo ikabd nitoke road apite huku kushoto kulikuwaa na msururu wa malori yapo slow..
 
Yaani amekwepa sehemu za hatari hatari ila amekuja kuanguka hapo kizembe.

Kiukweli wakati nafika eneo la tukio nilijua ameanguka kutokea darajani.
 
Yote hii ni sababu ya uhaba wa miundombinu, masterplan za ajabu...especially kwenye hicho kitu wanachokiita Ubungo interchange...

Najaribu tu kufikira kwenye nchi za wenzetu, ni lini nishawahi ona downtown kuna lori lenye rumbesa kama hiyo 🤔🤔
 
Madogo wanakuaga na saikolojia ya kitoto sana kwamba madereva wengine sio wajanja. Wanadhani wanaendesha Subaru. Ndio maana ule utaratibu wa kwenye mabasi kwamba dereva awe mtu mzima inamaana kubwa sana.
 
Madogo wanakuaga na saikolojia ya kitoto sana kwamba madereva wengine sio wajanja. Wanadhani wanaendesha Subaru. Ndio maana ule utaratibu wa kwenye mabasi kwamba dereva awe mtu mzima inamaana kubwa sana.
Upande wa abiria sawa acha wazee /watu wazima waendeshe!

Lakini mizigo tena ile amsha amsha, wazee pumzi inakata mapema sana.. huwezi kuepuka vijana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…