Ajali yaua watu watatu na kujeruhi 36 Tanga

Ajali yaua watu watatu na kujeruhi 36 Tanga

Hizi fuso niliziona kilosa zinabeba mzigo wa mnada mzima na wafanyabiashara wote
Yani mimi nilishazionaga na nikakonkludi kabisa kuwa hizi huwa hazipatagi ajali maana kama zingekuwa zinapata ajali basi ni kila siku na ni minada ya Tanzania nzima kwa jinsi watu na mizigo wanavyojazana mule.

Sasa ajali ya hii fuso ya handeni imenifanya nianze kufikili upya.
 
Mkuu, Fuso zinaongoza kwa kufanya ajali na kusababisha ajali.
Ni fuso au madereva wake ambao kama wale wa hiace akili zao ni sawa sawa na za boda boda na bangi kwao ni sigara ya kawaida?
 
Ni fuso au madereva wake ambao kama wale wa hiace akili zao ni sawa sawa na za boda boda na bangi kwao ni sigara ya kawaida?
Kwanza usiku huwa ni aghalabu kubadili taa wanakupiga taa hadi unabidi usimame.
 
Back
Top Bottom