Yani mimi nilishazionaga na nikakonkludi kabisa kuwa hizi huwa hazipatagi ajali maana kama zingekuwa zinapata ajali basi ni kila siku na ni minada ya Tanzania nzima kwa jinsi watu na mizigo wanavyojazana mule.
Sasa ajali ya hii fuso ya handeni imenifanya nianze kufikili upya.