Unatafuta kulogwa 🤣🤣🤣2. Ondoa trafiki wote barabarani na wapangiwe kuwa polisi kata huko Vijijini.
Toa leseni kwa watu wenye vigezo tuuKama kweli tunataka kuokota maisha ya watu wanaokufa kupitia ajali. Tufanye yafuatayo.
1. Funga vidhibiti mwendo na control centres ziwe Polish Makao Makuu, Magereza na TRA.
2. Ondoa trafiki wote barabarani na wapangiwe kuwa polisi kata huko Vijijini.
3. Weka faini Kali kwa over speed na kuvuka taa nyekundu/zebra crossing.
We jamaa ni muongo, kwenye jumuia ama watu wengi huwezi kukomesha uhalifu, huwa tuna dhibiti, kwakifupi binadamu ana akili sana akipata tatizo huamsha ubongo na kupata suluhisho la tatizo lake Ndiyo maana matatizo ya binadamu hayaishi labda hadi afeKama kweli tunataka kuokota maisha ya watu wanaokufa kupitia ajali. Tufanye yafuatayo.
1. Funga vidhibiti mwendo na control centres ziwe Polish Makao Makuu, Magereza na TRA.
2. Ondoa trafiki wote barabarani na wapangiwe kuwa polisi kata huko Vijijini.
3. Weka faini Kali kwa over speed na kuvuka taa nyekundu/zebra crossing.
Inatakiwa tuwe na mjadala wa kitaifa na siyo kusubiri wanasisa tutaendelea kuumizwa na kufa kwa ajali, kuwaachia wanasiasa mambo ya msingi ni hatari, wanasia maamuzi yao yana pande mbili chanya na hasiWapunguze kodi za magari watu waendeshe magari ambayo hata ikitokea ajali ya kinga kubwa juu yao hivyo vipaso na ist hata muweke sheria gani ajali ndogo tu lazima watu wafe magari yenye kinga yapo machache sana kwa sababu ya kuwa na kodi kubwa..
Bara bara nzuri zinajengwa kwa sababu ya magari mazuri yanayokwenda Zambia, Malawi na DRC.
Upo sahihi vitu vya msingi hatuangalii tupo na mambo ya hao wanasiasa ambao hawana msaada wowote kwa Watanzania.Inatakiwa tuwe na mjadala wa kitaifa na siyo kusubiri wanasisa tunaendelea kuumizwa na kufa kwa ajali, kuwaachia wanasiasa mambo ya msingi ni hatari, wanasia maamuzi yao yana pande mbili chanya na hasi
Wapo kwaajili ya matumbo yaoUpo sahihi vitu vya msingi hatuangalii tupo na mambo ya hao wanasiasa ambao hawana msaada wowote kwa Watanzania.
Trafiki ni miradi ya watoto wa wakubwaKama kweli tunataka kuokoa maisha ya watu wanaokufa kupitia ajali. Tufanye yafuatayo.
1. Funga vidhibiti mwendo na control centres ziwe Jeshini (JW) Makao Makuu, Magereza na TRA.
2. Ondoa trafiki wote barabarani na wapangiwe kuwa polisi kata huko Vijijini.
3. Weka faini Kali kwa over speed na kuvuka taa nyekundu/zebra crossing.
Watunga sheria ndiyo hawa mafisadi wa nchiUpo sahihi vitu vya msingi hatuangalii tupo na mambo ya hao wanasiasa ambao hawana msaada wowote kwa Watanzania.
Kazi ipo maana wao hawataki kulipa kodi.Watunga sheria ndiyo hawa mafisadi wa nchi
Majangili tupu mkuuKazi ipo maana wao hawataki kulipa kodi.
Naunga mkona hoja ,bila monitoring ya camera na kuwachaji na kuwakamata madereva hawatozingatia usalam barabarani.Kama kweli tunataka kuokoa maisha ya watu wanaokufa kupitia ajali. Tufanye yafuatayo.
1. Funga Free-standing Camera na control centres ziwe Jeshini (JW) Makao Makuu, Magereza (jela) na TRA.
2. Ondoa trafiki wote barabarani na wapangiwe kuwa polisi kata huko Vijijini. Wakapambane na wauza gongo na wezi WA mifugo.
3. Weka faini Kali (3m kila kosa) kwa over speed na kuvuka taa nyekundu/zebra crossing.