Lookmalasin
JF-Expert Member
- Jan 7, 2017
- 1,723
- 2,358
Naamini leseni haina uhusiano sana na kuepusha ajali, chanzo kikubwa cha ajali huwa ni sisi waendesha vyombo vya moto, umakini unakuwa mdogo sana, speed nk mtu anaweza akaendesha chombo cha moto kwa muda mrefu bila kuwa na leseni na bila kusababisha ajali kama anajitambua.
Nchi nyingine dereva wa Malori, Mabusi ya mikoani lazima wasimame na kupumzika kwa nusu saa baada ya masaa manne / matano au wanabadilisha dereva. Hapa kwetu mtu anaendesha masaa 8, 12. Uchovu unaweleza pia unachangia mabus ya abiria kupata ajali.