Lookmalasin
JF-Expert Member
- Jan 7, 2017
- 1,723
- 2,358
Naamini leseni haina uhusiano sana na kuepusha ajali, chanzo kikubwa cha ajali huwa ni sisi waendesha vyombo vya moto, umakini unakuwa mdogo sana, speed nk mtu anaweza akaendesha chombo cha moto kwa muda mrefu bila kuwa na leseni na bila kusababisha ajali kama anajitambua.
Mjadala utafanya halafu? Tatizo utekelezeaji uko kwa wana siasa ambao wameshindwa kila kitu na ukiwaambia wameshindwa wanakuua. Ukiwakosoa hawataki na hawataki kufanya chochote. Dawa ni kuingia barabarani na kuwang'oa kwa nguvu lakini wananchi wamelala fofofoInatakiwa tuwe na mjadala wa kitaifa na siyo kusubiri wanasisa tutaendelea kuumizwa na kufa kwa ajali, kuwaachia wanasiasa mambo ya msingi ni hatari, wanasia maamuzi yao yana pande mbili chanya na hasi
Kuingia barabarani siyo suluhisho ndiyo maana tunaongelea kuhusu jamii, swali fikirishi atakaye andamana ni nani, mwanadiasa vs jamiiMjadala utafanya halafu? Tatizo utekelezeaji uko kwa wana siasa ambao wameshindwa kila kitu na ukiwaambia wameshindwa wanakuua. Ukiwakosoa hawataki na hawataki kufanya chochote. Dawa ni kuingia barabarani na kuwang'oa kwa nguvu lakini wananchi wamelala fofofo
Ni suluhisho(note spelling). Na ndiyo njia pekee ya kuondoa serikali iliyoshindwa kazi.Kuingia barabarani siyo suruhisho ndiyo maana tunaongelea kuhusu jamii, swali fikirishi atakaye andamana ni nani, mwanadiasa vs jamii
But you will need a support from the so called wananchi, (jamii), please take note of why silence surrenders public responsibilities.Ni suluhisho(note spelling). Na ndiyo njia pekee ya kuondoa serikali iliyoshindwa kazi.