Ajali zinaondoshwa kwa kusali kwa kukaa barabarani? Waafrika bhana!

Ajali zinaondoshwa kwa kusali kwa kukaa barabarani? Waafrika bhana!

Kuna ajali zinasababishwa na chombo chenyewe, kuna ajali zinasababishwa na uzembe wa dereva na pia zipo ajali ambazo chanzo chake ni maroho machafu, yanataka damu.

Hao watu walifanya ibada kukabiliana na ajali zinazisababishwa na maroho machafu, wachawi, majini etc

IMG-20220922-WA0088.jpg
 
Ujuha gani unaouongelea? Ndiyo maana nikasema Wazungu hauwaelewi, kuna shida gani kwa Wakristo kusali? Unaweza ukashutumu mengine mengi lkn siyo kwa Wakristo kuomba, Sala ni sehemu ya maisha ya watu wa Dini, na ndiyo maana karibia nchi zote za Wazungu bendera zao zina alama ya Msalaba, unajua ni kwa nini?
Ni symbol of christianity!
Mbona MV Bukoba ilipozama tarehe 21 May, 1996 Wapuuzi nyie hamkwenda juu ya Maji ya Ziwa Victoria katika kina Kirefu ( pale ilipozamia ) kisha Muombe ( Msali ) huku mkiwa mnaelea elea juu ya Maji na Samaki Sato na Sangara wakiwa Wanazidokoa dokoa Kende zenu Kuzuia Ajali zingine za Meli zisitokee pale Ziwani na Kwingineko Baharini na katika Mito mikubwa?

Hamna Akili.
 
Viongozi wa dini mkoani Mbeya, kwa kushirikiana na serikali, wamefanya ibada maalum katika mteremko mkali wa Inyala, kuomba Mungu aepushe ajali ambazo zimekuwa zikitokea mara kwa mara katika eneo hilo na kusababisha maafa.

ITV

===

Acheni tu wazungu watudharau 24/7.
 
Attachments

  • IMG_4950.MP4
    666.7 KB
Vipi zile ibada za mteremko wa Mbalizi zilizaa matunda?
Ngoja tuwasubiri Waafrika Mazuzu waje watujibu, ila Sisi Waafrika wachache akina MINOCYCLINE tunaojitambua na kuwaza Kisayansi na Kizungu zaidi hatuna Upuuzi huo na Imani hiyo.
 
Mbona MV Bukoba ilipozama tarehe 21 May, 1996 Wapuuzi nyie hamkwenda juu ya Maji ya Ziwa Victoria katika kina Kirefu ( pale ilipozamia ) kisha Muombe ( Msali ) huku mkiwa mnaelea elea juu ya Maji na Samaki Sato na Sangara wakiwa Wanazidokoa dokoa Kende zenu Kuzuia Ajali zingine za Meli zisitokee pale Ziwani na Kwingineko Baharini na katika Mito mikubwa?

Hamna Akili.

Sawa, kwa hiyo wewe ndiyo una akili na majibu ya matatizo ya Dunia hii ambapo binadamu wengine wote hawana? Hongera sana!
 
Viongozi wa dini mkoani Mbeya, kwa kushirikiana na serikali, wamefanya ibada maalum katika mteremko mkali wa Inyala, kuomba Mungu aepushe ajali ambazo zimekuwa zikitokea mara kwa mara katika eneo hilo na kusababisha maafa.

ITV

===

Acheni tu wazungu watudharau 24/7.
haa haaaa haaa, unaonekana we jamaa huujui ulimwengu wa roho unavyofanya kazi. Uko mbali sana na Mungu mkuu! Yaani wewe huwa unalala na kuamka tu kama mnyama wa kawaida. Jaribu kuwaza na kujiuliza swali dogo: unapokuwa umelala usingizi mzito huwa uko wapi.

JESUS IS LORD
 
1 Wakorintho 2
¯¯¯¯¯¯¯¯¯¯
¹⁴ Basi mwanadamu wa tabia ya asili hayapokei mambo ya Roho wa Mungu; maana kwake huyo ni upuzi, wala hawezi kuyafahamu, kwa kuwa yatambulikana kwa jinsi ya rohoni.

¹⁵ Lakini mtu wa rohoni huyatambua yote, wala yeye hatambuliwi na mtu.

¹⁶ Maana, Ni nani aliyeifahamu nia ya Bwana, amwelimishe? Lakini sisi tunayo nia ya Kristo.
Amina mtumishi. Mtu wa mwilini amezungukwa na giza nene sana. Namna ya kutoka huko ni Mungu mwenyewe Ahusike. Vinginevyo ni uongo mtupu.

YESU NI NURU
 
Sala na maombezi ni jambo jingine na kuboresha miundo mbinu ni jambo jingine...Mungu humsaidia mtu ambaye kwanza ameonesha juhudi za kujisaidia yeye hupitia mule kwenye hizo jitihada ....anyway wamefanya jambo jema tunaomba serikali irekebishe hiyo miundo mbinu pleaseee
 
haa haaaa haaa, unaonekana we jamaa huujui ulimwengu wa roho unavyofanya kazi. Uko mbali sana na Mungu mkuu! Yaani wewe huwa unalala na kuamka tu kama mnyama wa kawaida. Jaribu kuwaza na kujiuliza swali dogo: unapokuwa umelala usingizi mzito huwa uko wapi.

JESUS IS LORD
Nawaza Kisayansi na siyo Kienyeji, Kiuswahili na Kitanzania kama Wewe / Nyie sawa?
 
Lugha ya mtu inasema mengi sana kuhusu intelligence, intelligent people hawaongei kama wewe halafu, inaelekea unaishi kwa kujidanganya sana!
Intelligence yangu JUHA kama Wewe utaijuaje?
 
Na huyu ni wa huko👇

Back
Top Bottom