Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 76,107
- 160,001
Mbona MV Bukoba ilipozama tarehe 21 May, 1996 Wapuuzi nyie hamkwenda juu ya Maji ya Ziwa Victoria katika kina Kirefu ( pale ilipozamia ) kisha Muombe ( Msali ) huku mkiwa mnaelea elea juu ya Maji na Samaki Sato na Sangara wakiwa Wanazidokoa dokoa Kende zenu Kuzuia Ajali zingine za Meli zisitokee pale Ziwani na Kwingineko Baharini na katika Mito mikubwa?Ujuha gani unaouongelea? Ndiyo maana nikasema Wazungu hauwaelewi, kuna shida gani kwa Wakristo kusali? Unaweza ukashutumu mengine mengi lkn siyo kwa Wakristo kuomba, Sala ni sehemu ya maisha ya watu wa Dini, na ndiyo maana karibia nchi zote za Wazungu bendera zao zina alama ya Msalaba, unajua ni kwa nini?
Ni symbol of christianity!
Siku ukipinduka na gari ndio utajua kuwa waombaji barabara wanahitajika sana tu.Mwafrika anahitaji ukombozi wa kifikra kwanza maana sio kwa ujinga huo
Viongozi wa dini mkoani Mbeya, kwa kushirikiana na serikali, wamefanya ibada maalum katika mteremko mkali wa Inyala, kuomba Mungu aepushe ajali ambazo zimekuwa zikitokea mara kwa mara katika eneo hilo na kusababisha maafa.
ITV
===
Acheni tu wazungu watudharau 24/7.
Ngoja tuwasubiri Waafrika Mazuzu waje watujibu, ila Sisi Waafrika wachache akina MINOCYCLINE tunaojitambua na kuwaza Kisayansi na Kizungu zaidi hatuna Upuuzi huo na Imani hiyo.Vipi zile ibada za mteremko wa Mbalizi zilizaa matunda?
Mbona MV Bukoba ilipozama tarehe 21 May, 1996 Wapuuzi nyie hamkwenda juu ya Maji ya Ziwa Victoria katika kina Kirefu ( pale ilipozamia ) kisha Muombe ( Msali ) huku mkiwa mnaelea elea juu ya Maji na Samaki Sato na Sangara wakiwa Wanazidokoa dokoa Kende zenu Kuzuia Ajali zingine za Meli zisitokee pale Ziwani na Kwingineko Baharini na katika Mito mikubwa?
Hamna Akili.
Unauliza Condom Gesti?Sawa, kwa hiyo wewe ndiyo una akili na majibu ya matatizo ya Dunia hii ambapo binadamu wengine wote hawana? Hongera sana!
haa haaaa haaa, unaonekana we jamaa huujui ulimwengu wa roho unavyofanya kazi. Uko mbali sana na Mungu mkuu! Yaani wewe huwa unalala na kuamka tu kama mnyama wa kawaida. Jaribu kuwaza na kujiuliza swali dogo: unapokuwa umelala usingizi mzito huwa uko wapi.Viongozi wa dini mkoani Mbeya, kwa kushirikiana na serikali, wamefanya ibada maalum katika mteremko mkali wa Inyala, kuomba Mungu aepushe ajali ambazo zimekuwa zikitokea mara kwa mara katika eneo hilo na kusababisha maafa.
ITV
===
Acheni tu wazungu watudharau 24/7.
Amina mtumishi. Mtu wa mwilini amezungukwa na giza nene sana. Namna ya kutoka huko ni Mungu mwenyewe Ahusike. Vinginevyo ni uongo mtupu.1 Wakorintho 2
¯¯¯¯¯¯¯¯¯¯
¹⁴ Basi mwanadamu wa tabia ya asili hayapokei mambo ya Roho wa Mungu; maana kwake huyo ni upuzi, wala hawezi kuyafahamu, kwa kuwa yatambulikana kwa jinsi ya rohoni.
¹⁵ Lakini mtu wa rohoni huyatambua yote, wala yeye hatambuliwi na mtu.
¹⁶ Maana, Ni nani aliyeifahamu nia ya Bwana, amwelimishe? Lakini sisi tunayo nia ya Kristo.
Unauliza Condom Gesti?
Nawaza Kisayansi na siyo Kienyeji, Kiuswahili na Kitanzania kama Wewe / Nyie sawa?haa haaaa haaa, unaonekana we jamaa huujui ulimwengu wa roho unavyofanya kazi. Uko mbali sana na Mungu mkuu! Yaani wewe huwa unalala na kuamka tu kama mnyama wa kawaida. Jaribu kuwaza na kujiuliza swali dogo: unapokuwa umelala usingizi mzito huwa uko wapi.
JESUS IS LORD
Intelligence yangu JUHA kama Wewe utaijuaje?Lugha ya mtu inasema mengi sana kuhusu intelligence, intelligent people hawaongei kama wewe halafu, inaelekea unaishi kwa kujidanganya sana!
Intelligence yangu JUHA kama Wewe utaijuaje?