Ajali ZNZ: Vodacom waanza kugomewa

Ajali ZNZ: Vodacom waanza kugomewa

7818.jpg

waliosoma TWITTER FEEDS za MWAMVITA hawakuamini maneno anayoandika juu ya hii lawama
 
Mkuu,

Kuilaumu serikali sikubaliani na wewe unless unipe sababu za kutosha nikubaliane na wewe. Hio ni kwasababu serikali imerespond to call of duty ilipotokea janga na tumejionea Rais ameahirisha safari yake na kwenda Zanzibar, Vile vile vikosi vya polisi wanamaji na hadi jeshi vimeenda kusaidia hiyo hali. Hivyo kuilaumu serikali ni kukosa shukrani.

Basi tuanzishe kampeni ya kuipongeza serikalii kwa juhudi zake za uokoaji na kunusuru maisha na kusimamia maziko.

Labda uibadilishe kauli yako useme hivi wa kulaumiwa ni watanzania na kukosekana kwa maadili ya uwajibikaji na rushwa iliyotapakaa. Hiyo ni kwasababu Tanzania sasa hivi rushwa imekuwa ni kauli mbiu na haiondoki. Kuanzia mfagizi mpaka mkurugenzi rushwa imekuwa ikinyima haki za watu, na kusababisha watu wapoteze maisha.

Na katika hilo la kutapakaa kwa rushwa serikali haina neno la kufanya wala sababu ya kuonekana inahusika. Nimekuelewa.

Tuweni wakweli meli hii imekuwa ikifanya safari zake tangia 2007 na imeripotiwa iliwahi kukumbwa na mkasa kama wajuzi huko katika pwani ya Somalia ikaja kuokolewa na wamarekani na wafaransa. La kujiuliza imewezaje kufanya shughuli zake kuanzia 2007 hadi jana ilihali inajulikana hiyo meli mbovu. Ni akina nani walikuwa wakikagua hiyo meli kila baada ya miezi sita kuona ubora wake. Je vyombo vya mamlaka ya majini anga na barabara (Sumatra au sijui kama kuna chombo zanzibar) vilikuwa wapi siku zote.

Kwanini unauliza kuhusu Sumatra na kina nani walikuwa wanakagua? Jibu lako ni hao wananchi waliopanda meli. Serikali haikuhusika wala kutakiwa kuhusika katika ukaguzi wala usimamizi wa usafiri. Ni hao wavuvi, wakulima, wafanyabiashara Wazanzibar waliokuwemo kwenye meli wanaotakiwa kubeba lawama. Serikali yetu ni safi katika hili.
Nani aliipasisha meli hii mbovu kufanya shughuli zake nchini, Waziri wa uchukuzi toka miaka ya nyuma ana taarifa zozote kuhusu hali ya usalama wa vyombo vya meli, ndege na mabasi?

Ni hao hao wananchi wa Zanzibar.

Kunafanyika independent audit inquiry kila mwaka kudhibitisha usalama wa watumiaji vyombo. Utagundua tatizo lipo katika mambo makuu mawili nayo ni uzembe na ufisadi. Matatizo haya ni endemic au kwajina lengine a systemic failure kiasi kwamba kuyaondoa lazima watanzania wabadilike ili yaondoke.

Kama matatizo ni systematic basi ni kuwalilia watanzania wabadilike kamaunavyofanya waiache serikali pembeni kwani haijahusika kabisa na hiyo system.

Vyenginevyo kuilaumu serikali ni kama kuionea kwani tatizo tunalo watanzania wenyewe!!!

Nimekubali kuilaumu serikali ni makosa walaumiwe wananchi wa Zanzibar na Bara kwa kushindwa kusimamia vyobmo vyao vya usalama, kuachilia ufisadi uendee na kutowachukulia hatua za kisheria viongozi wabovu. Serikali imefanya kazi yake vizuri na inastahili pongezi.
 
Basi tuanzishe kampeni ya kuipongeza serikalii kwa juhudi zake za uokoaji na kunusuru maisha na kusimamia maziko.

Na katika hilo la kutapakaa kwa rushwa serikali haina neno la kufanya wala sababu ya kuonekana inahusika. Nimekuelewa.

Kwanini unauliza kuhusu Sumatra na kina nani walikuwa wanakagua? Jibu lako ni hao wananchi waliopanda meli. Serikali haikuhusika wala kutakiwa kuhusika katika ukaguzi wala usimamizi wa usafiri. Ni hao wavuvi, wakulima, wafanyabiashara Wazanzibar waliokuwemo kwenye meli wanaotakiwa kubeba lawama. Serikali yetu ni safi katika hili.

Ni hao hao wananchi wa Zanzibar.

Kama matatizo ni systematic basi ni kuwalilia watanzania wabadilike kamaunavyofanya waiache serikali pembeni kwani haijahusika kabisa na hiyo system.

Nimekubali kuilaumu serikali ni makosa walaumiwe wananchi wa Zanzibar na Bara kwa kushindwa kusimamia vyobmo vyao vya usalama, kuachilia ufisadi uendee na kutowachukulia hatua za kisheria viongozi wabovu. Serikali imefanya kazi yake vizuri na inastahili pongezi.

Performance ya JF nayo ilikuwaje kuhusu hili janga? maana tusilaumu TVT tuu peke yake
 
Hivi mwenye mamlaka ya kusitisisha hilo shindano alikuwa vodacom au kina Rudenga?
Vodacom si mdhamini tu?
Naomba tuwekane wazi kuhusu hili.
 
Basi tuanzishe kampeni ya kuipongeza serikalii kwa juhudi zake za uokoaji na kunusuru maisha na kusimamia maziko.

Na katika hilo la kutapakaa kwa rushwa serikali haina neno la kufanya wala sababu ya kuonekana inahusika. Nimekuelewa.

Kwanini unauliza kuhusu Sumatra na kina nani walikuwa wanakagua? Jibu lako ni hao wananchi waliopanda meli. Serikali haikuhusika wala kutakiwa kuhusika katika ukaguzi wala usimamizi wa usafiri. Ni hao wavuvi, wakulima, wafanyabiashara Wazanzibar waliokuwemo kwenye meli wanaotakiwa kubeba lawama. Serikali yetu ni safi katika hili.

Ni hao hao wananchi wa Zanzibar.

Kama matatizo ni systematic basi ni kuwalilia watanzania wabadilike kamaunavyofanya waiache serikali pembeni kwani haijahusika kabisa na hiyo system.

Nimekubali kuilaumu serikali ni makosa walaumiwe wananchi wa Zanzibar na Bara kwa kushindwa kusimamia vyobmo vyao vya usalama, kuachilia ufisadi uendee na kutowachukulia hatua za kisheria viongozi wabovu. Serikali imefanya kazi yake vizuri na inastahili pongezi.

Mwanakijiji sijui kama umenielewa au kunifahamu. What I am saying this issue is a systemic failure and not a systematic failure. Systemic failure is a failure of the entire system (Wananchi, serikali, sheria na utekelezaji wake). Systematic failure ni failure of one particular area of the system ndio maana inaitwa systematic au kwa jina lengine specific failure. Bila shaka umenifahamu hapo ukisema serikali peke yake imefail ukawaacha wananchi unakosea kwani wananchi wenyewe nao wanachangia kuwepo kwa madudu kama haya. Ukisema uwalaumu wananchi kuacha serikali unakosea kwani serikali ndio inasimamia uendeshaji wa nchi hii. vile vile sheria zetu nazo zina makosa mfano sheria ya kuruhusu wanasiasa wafanye biashara inachangia kukosekana kwa uwajibikaji etc.

Hili la meli narudi is a systemic failure mkuu I hope sasa umenielewa.
 
Mkuu Serikali utailaumu vp wakati hii nchi siku hizi imekuwa ya kitu kidogo! Ukienda kila mahali jamaa wanaulizia kitu kidogo na rushwa imetapakaa kila mahali! To me this is systemic failure rather than a government failure. Lazima tuonyeshe kwanza sisi wenyewe tunabadilika ndio serikali itabadilika vyenginevyo mnatwanga maji kwenye kinu au kuifanya hii ajali suala la kisiasa. Hembu nieleze serikali inalaumika vp kujazana kwa abiria katika meli zaidi ya kipimo chake? Ukichunguza undani utakuja kukuta askari na wahusika wa bandari walimezea baada ya kupewa mlungula wakapandisha abiria kupita uwezo. Vile vile watoaji rushwa nao walitoa rushwa wakidhani wajanja kumbe wamepatikana na ajali imewaumiza, vile vile mmiliki wa meli bila shaka anajua kinachoendelea ila ndio hivyo tena pesa mbele mauti nyuma. This is systemic failure brother !!!!

Kuna watu tumewapa dhamana ya kuongoza na kusimamia masuala mbalimbali katika nchi hii. Uwezo/mamlaka wanayo na hata tunalipa kodi ili waweze kutimiza majukumu tuliyowapa. Sasa ukiniambia watu hawa hatupaswi kuwauliza wametumiaje mamlaka na rasilimali tulizowapa nashindwa kukuelewa.

Labda natakubaliana tu na wewe kwa msingi kuwa ni sisi sote kwa pamoja ndio tunakubali/tumeridhika CCM kuendela kuongoza nchi hii pamoja na kuwa ni dhahiri wameshindwa ku deliver to our expectation! Utawasikia katika hili watakwambia ni 'ajali tu' kama ilivyokuwa ile ya gongo la mboto na nyinginezo wote wanasema ni 'systematic failure'!
 
Mkuu ukikubali kuwa sote tukubali lawama ndio Systemic failure yenyewe hiyo na sio systematic failure. Unachosema ni sahihi kwa upande kuwa tumeshindwa kuiwajibisha serikali ya CCM. But hata kama tukiwajibisha serikali ya CCM tukaileta ya serikali ya Chadema things will never change kama hatujakubali sisi wenyewe kubadilika.

Jumatatu nilienda hospitali ya moja kubwa jijini Dar na askari pale mlangoni aliniomba kitu kidogo aniruhusu nipite na gari yangu kwenda KUTIBIWA!!!! Tumefikia hali hiyo nchi imekuwa ya kitu kidogo hata kama tukileta serikali ya Chadema things may be even worse if we are not ready to change ourselves mkuu huo ni ukweli
 
  • Thanks
Reactions: SMU

Lakini, mabadiliko yoyote yanahitaji 'uongozi' (leadership) kitu ambacho CCM wameshindwa! Lazima tuwe na sehemu ya kuanzia otherwise tutaendelea kusema tu ni 'systemi'c failure (and hence no one would/should take respeonsibility!).
 
Mheshimiwa ZK, Nakuheshimu sana, ila kwa hili inabidi tutofautiane sana. hawa waandaaji wa miss tz na wadhamini wao ni wafanyibiashara. hawana mahusiano ya moja kwa moja na ulichokisema au kilichotokea. mfano, mimi nina rafiki yangu kafiwa na mzazi wake juzi, na alikuwa mteja wa vodacom, ninaamini ni wengi sana wamekufa the same day wakiwa wateja wa vodacom. unataka kuniambia kuwa wanapaswa kuzima simu zao kesho kwa kuwa voda hawakuahirisha miss tz huku wao wakiwa msibani? mbona kwa style hiyo voda na wengineo watashindwa kufanya biashara kwa kuzidiwa na misiba? umetoa mfano wa mkuu kuahirisha safari iliyokula hela nyingi kwa matayarisho yake. mbona ni hela zetu wote wakiwemo na wahanga wa ajali ile? voda ni biashara na mkuu ni za kuchota. mifano miwili tofauti hapa. nafikiri wa kulaumu ni walioendelea na uzinduzi wa kampeni za igunga na si voda mkuu. unawaonea sana. najua uko kazini but kwa hilo mimi naona tofauti na nakuomba usizime hata simu ya voda. utakosa mawasiliano bure. kama ni misiba kwa jana tu ni hundreds of them kwa nchi nzima na si huko tu.
 
Mkuu ukikubali kuwa sote tukubali lawama ndio Systemic failure yenyewe hiyo na sio systematic failure. Unachosema ni sahihi kwa upande kuwa tumeshindwa kuiwajibisha serikali ya CCM. But hata kama tukiwajibisha serikali ya CCM tukaileta ya serikali ya Chadema things will never change kama hatujakubali sisi wenyewe kubadilika.

Jumatatu nilienda hospitali ya moja kubwa jijini Dar na askari pale mlangoni aliniomba kitu kidogo aniruhusu nipite na gari yangu kwenda KUTIBIWA!!!! Tumefikia hali hiyo nchi imekuwa ya kitu kidogo hata kama tukileta serikali ya Chadema things may be even worse if we are not ready to change ourselves mkuu huo ni ukweli

Speaking of systemic and non-systemic failures; I believe top-down approach in re-mediating such failures for political systems is more suitable than bottom-up approach.

You mention of moral decay, ineptitude to work, irresponsibility and so forth in our society, to which anyone would agree kwamba yes, there is a problem. Yet unachora mstari wa kukwepa uwajibikaji kwa uongozi kwa kusuggest kwamba this is a societal issue, and it's the society that has to carry the burden. Of course, we agree that it's a societal thing. Lakini kuna viongozi tuliowachagua kuhakikisha standards katika haya mambo inakuwa maintained. Ni kodi zetu zinalipa hawa viongozi na ulinzi juu, just so they can keep an eye we don't find ourselves in the systemic failure you allude to. So what would be the point of having leadership and institutions that are meant to protect and uphold the moral fabrics of the society, in place where when checks to account for failures in the system are done, they (viongozi) all rise up in unison to say it's societal failure and that they'vegot no hand in it therefore not responsible??
 
  • Thanks
Reactions: SMU
Mheshimiwa ZK, Nakuheshimu sana, ila kwa hili inabidi tutofautiane sana. hawa waandaaji wa miss tz na wadhamini wao ni wafanyibiashara. hawana mahusiano ya moja kwa moja na ulichokisema au kilichotokea. mfano, mimi nina rafiki yangu kafiwa na mzazi wake juzi, na alikuwa mteja wa vodacom, ninaamini ni wengi sana wamekufa the same day wakiwa wateja wa vodacom. unataka kuniambia kuwa wanapaswa kuzima simu zao kesho kwa kuwa voda hawakuahirisha miss tz huku wao wakiwa msibani? mbona kwa style hiyo voda na wengineo watashindwa kufanya biashara kwa kuzidiwa na misiba? umetoa mfano wa mkuu kuahirisha safari iliyokula hela nyingi kwa matayarisho yake. mbona ni hela zetu wote wakiwemo na wahanga wa ajali ile? voda ni biashara na mkuu ni za kuchota. mifano miwili tofauti hapa. nafikiri wa kulaumu ni walioendelea na uzinduzi wa kampeni za igunga na si voda mkuu. unawaonea sana. najua uko kazini but kwa hilo mimi naona tofauti na nakuomba usizime hata simu ya voda. utakosa mawasiliano bure. kama ni misiba kwa jana tu ni hundreds of them kwa nchi nzima na si huko tu.

Tofautisha kifo cha mtu mmoja na kifo cha halaiki ya mamia ya watanzania. Kilichotokea juzi ni kifo cha watanzania wengi na hivyo in the sense of solidarity, unity and humanity we have to give them our support. Sikatai uchungu ndio ule ule lakini tofautisha msiba wa kitaifa na msiba wa mtu mmoja ndugu. Vodacom kama mfanyabiashara walivyo wafanyabiashara wa pale Darajani ambao wao walikuwa na sense of responsibility to the society walifunga maduka yao nao pia Vodacom walitakiwa wawe na sense of remorse and sympathy for the loss of their loveoness.

Nchi za magharibi BP walipoteza maisha ya wanyama kama bata na samaki CEO wa BP USA alifukuzwa kazi na BP walilipishwa fine ya kihistoria. Sie tunapata ajali mambo yanaendelea kama kawaida no one cares. Kesho unawafuata wazanzibar kuomba ushirikiano wao for this one Zitto is absolutely right kuwalaumu Vodacom they had the duty of being responsible to the society mkuu na event ile ilitakiwa kusimamishwa kupisha huu mtihani upite mambo mengine yatafuata baadae.
 
Speaking of systemic and non-systemic failures; I believe top-down approach in re-mediating such failures for political systems is more suitable than bottom-up approach.

You mention of moral decay, ineptitude to work, irresponsibility and so forth in our society, to which anyone would agree kwamba yes, there is a problem. Yet unachora mstari wa kukwepa uwajibikaji kwa uongozi kwa kusuggest kwamba this is a societal issue, and it's the society that has to carry the burden. Of course, we agree that it's a societal thing. Lakini kuna viongozi tuliowachagua kuhakikisha standards katika haya mambo inakuwa maintained. Ni kodi zetu zinalipa hawa viongozi na ulinzi juu, just so they can keep an eye we don't find ourselves in the systemic failure you allude to. So what would be the point of having leadership and institutions that are meant to protect and uphold the moral fabrics of the society, in place where when checks to account for failures in the system are done, they (viongozi) all rise up in unison to say it's societal failure and that they'vegot no hand in it therefore not responsible??

Mkuu,

Uwajibikaji huanzia kwa mtu binafsi na kuwa na tabia ya kukataa kutoa rushwa na kutopokea rushwa (azimio la arusha), uwajibikaji ni kutokuwa wazembe na kila mmoja wetu kuwa na sense of responsibility to his/her own society (again Azimio la Arusha). Tutakapokuwa tumefikia hapo ndio we can held into account our own government hatuwezi kuanzia from the top kwani sumu ishasambaa. Serikali yetu inaconsists of people au wananchi , wananchi hao ndio sisi tusio na maadili ya kuwajibika unategemea kutakuwa na uwajibikaji kweli?

Tunazungumzia ufisadi wakati mafisadi wenyewe ndio sisi wenyewe yet tunajiita wapambanaji wa ufisadi. Mkuu hapo hata kama tutaanzia top-bottom approach the problem will never go (remember Kenya under Moi regime and now Kibaki regime Ufisadi uko pale pale and in fact umezidi wakati wa Kibaki). Inabidi tuanzie bottom-top mkuu ndio tutaweza kuliondoa tatizo vyenginevyo ni kazi bure tu.
 
waliosoma TWITTER FEEDS za MWAMVITA hawakuamini maneno anayoandika juu ya hii lawama

Acheni ushabiki wa kiwivu na kijinga, mbona hamzungumzii chama tawala kutoahirisha uzinduzi wa kampeni zao huko Igunga. Voda wako kwenye business, afterall that is not their target market as the area is dominated by Zantel subscribers.

Mhhhhhhhhhhh! Mi nilidhani issue hapa ni utaifa badala ya kuangalia nani anatumia huduma yako zaidi kuliko mwingine
 
Mkuu,

Uwajibikaji huanzia kwa mtu binafsi na kuwa na tabia ya kukataa kutoa rushwa na kutopokea rushwa (azimio la arusha), uwajibikaji ni kutokuwa wazembe na kila mmoja wetu kuwa na sense of responsibility to his/her own society (again Azimio la Arusha). Tutakapokuwa tumefikia hapo ndio we can held into account our own government hatuwezi kuanzia from the top kwani sumu ishasambaa. Serikali yetu inaconsists of people au wananchi , wananchi hao ndio sisi tusio na maadili ya kuwajibika unategemea kutakuwa na uwajibikaji kweli?

Tunazungumzia ufisadi wakati mafisadi wenyewe ndio sisi wenyewe yet tunajiita wapambanaji wa ufisadi. Mkuu hapo hata kama tutaanzia top-bottom approach the problem will never go (remember Kenya under Moi regime and now Kibaki regime Ufisadi uko pale pale and in fact umezidi wakati wa Kibaki). Inabidi tuanzie bottom-top mkuu ndio tutaweza kuliondoa tatizo vyenginevyo ni kazi bure tu.

Mkuu, kumbuka hatuko kwenye ujamaa...

Watu wanapokosa mawakili wa kuwawakilisha kwenye kesi ujue hiyo system si ya ujamaa. Barriers kwa mlalahoi kumshitaki kiongozi wake au tajiri fulani hivi ni kubwa ukilinganisha na gharama hizo kwa kiongozi au tajiri kukushitaki wewe. Hivyo unapoongelea system, ndiyo unaongelea watu wake na kila kilichomo. Lakini kwenye kuwajibishana, in a political system works better kwa kuanzia kwa viongozi, kwani wao ndiyo tumewakabidhisha instruments za kuhakikisha kuwa maadili ya kazi na mengine mengi yanafanyika na kuendeshwa ipasavyo. Mfano nii rahisi kwao kuliko wewe uniambie --- ooh, steve dii kwanini unatupa uchafu hapo? Ukitoka hapo utaenda kunishtaki polisi umeniona nikitupa uchafu pahala pasipotakiwa. Kama ni mlalahoi, basi nitakamatwa na kufungwa au kutozwa faini. Lakini kwa tajiri au kiongozi, uwezo wa kukwepa mashtaka na kuchomoka hapo au kukugeuzia wewe kibao ni mkubwa zaidi kwenye nchi yetu. Hata hivyo tukiwa kama system, yaani sisi wananchi kama sub-system, tunaweza kukubaliana kwamba kiongozi fulani hivi au another sub-system haifanyi kazi inavyotakiwa, hivyo inatakiwa kurekebishwa au kuondolewa.
 
Acheni ushabiki wa kiwivu na kijinga, mbona hamzungumzii chama tawala kutoahirisha uzinduzi wa kampeni zao huko Igunga. Voda wako kwenye business, afterall that is not their target market as the area is dominated by Zantel subscribers.
<br />
<br />
kwa upande wa ccm azabu yao igunga wataipoteza na mpaka 2015 watakua washafarakana na kufa kwa chama. Voda wao hata kama ni biashara sio kiivyo na kwenye hii kampeni yakushawishi watu waihame ntakua miongoni kwani cjalifurahia kabisa
 
jana kufanyika miss tz pamoja na uzinduzi wa kampeni, kwangu mm sio picha nzuri.
 
Back
Top Bottom