Siwez kushangaa kwa sababu naujua mpira na najua maana ya ushabikiUtashangaa kutokuiona klabu yako final
Tusubiri nusu final tuone km liver atabeba hata kiberitiSiwez kushangaa kwa sababu naujua mpira na najua maana ya ushabiki
THE FUTURE
Huenda ni upepo tu unapitaTimu za msimu mmoja hizi wala siziwekei dhamana, msimu uliopita ilikuwa Roma
This too, shall pass
Uyoga uyoga
Haibomolewi, kama chuo cha soka malengo yao si kukaa nao hao wachezaji hadi wastaafu, inabidi waondoke ili waodogo zao nao wapate nafasi. Hio ndio falsafa ya Ajax.Tatizo inabomolewa na wamubwa, hai a future hii timu. De jong ni Barca player.
De ligt is loading
Haibomolewi, kama chuo cha soka malengo yao si kukaa nao hao wachezaji hadi wastaafu, inabidi waondoke ili waodogo zao nao wapate nafasi. Hio ndio falsafa ya Ajax.
“We accept that in one way now, if you are 27, 28 and still playing for Ajax you are probably not good enough for the top of Europe because players want to go to the top in Europe. So we have to make sure there are even quicker and stronger and better players for the first team than maybe three, four or five years ago. We want to have the best young team in Europe.”
Maneno ya van de sir wakati anakabidhiwa ajax 2014
Hata Ajax ya 2002 ya akina Christian Chiev, Wensley Sneider, Peaner, Zlatan na RV n.kNaona wanataka kuyarudia yale yaliyofanywa na kaka zao msimu wa 95 km sikosei... Ajax ile ilikuwa na vipaji vikubwa km ajax hii ya sasa, wana chemistry nzuri mnoo.. Tatizo lao umaliziaji, wana utoto mwingi kwenye finishing, nafasi 10 za wazi wanafunga 2..
Ajax ile ya mwisho ilikuwa moto ndani wamo
Edwin van de saar
Frank de boer
Ronald de boer
Edgar Davids
Nwakwo kanu
Clarence seerdorf
Marc overmars
Patrick kluivert!! N.k
Ambao wote walikuja kuwa masupastaa wakubw baadae hii inaonesha ni kiasi gani walikuwa na timu yenye vipaji vikubwa.. Kwa soka lao km angepita man city angewasumbua kwa Tottenham inawezekana wakapenya wakatinga fainali na wakaweza kuushangaza ulimwengu, vijana ni wapambanaji mnooo.. Ukiwatangulia goli moja ndio inakuwa kama umechokoza nyuki mchana.
Sent using Jamii Forums mobile app