Ajax FC (AFC) Special Thread

Ajax FC (AFC) Special Thread

Sema juve ilikuwa na wazee wengi ndio maana ajax wamewakaliza
 
Tatizo inabomolewa na wamubwa, hai a future hii timu. De jong ni Barca player.
De ligt is loading
Haibomolewi, kama chuo cha soka malengo yao si kukaa nao hao wachezaji hadi wastaafu, inabidi waondoke ili waodogo zao nao wapate nafasi. Hio ndio falsafa ya Ajax.

“We accept that in one way now, if you are 27, 28 and still playing for Ajax you are probably not good enough for the top of Europe because players want to go to the top in Europe. So we have to make sure there are even quicker and stronger and better players for the first team than maybe three, four or five years ago. We want to have the best young team in Europe.”

Maneno ya van de sir wakati anakabidhiwa ajax 2014
 
Missio and vision.. Safi

Shida ya hivi vi timu ni kushindwa kudumu na wachezaji wao wazuri! Wenye fedha watakuja kuchukua wachezaji wote wazuri then waanze upya kujenga timu! Ila kiukweli wale machalii wa Ajax wapo fit sana
 
*1. Johan Cruijff*
*2. Van Basten*
*3. Van De Sar*
*4. Edgar Davies*
*5. Jen Ventorghen*
*6. Toby Alderweireld*
*7. Rijkard*
*8. Frank De Boer*
*9. Patrick Cruivert*
*10. Daley Blind*
*11. Christian Eriksen*
*12. Seedorf*
*13. Rafael van der Vert*
*14. Wesley Sneider*
*15. Denis Bergkamp*

Wote hawa Ni mazao ya Ajax academy
 
Ajax washafanya yao maisha bila De light chuma from hereneeven kabich miaka 18 wanaoifatlia hereneev piere alikua huyu na odeegard kbla ya odeeargaad kujiunga na Utrecht very promising Star
IMG-20190419-WA0025.jpeg
 
Hivi vinyuzi Uchwara vitapotea Muda si mrefu kama vilivyopotea Vinyuzi vya PSG na Juventus.
 
Naona wanataka kuyarudia yale yaliyofanywa na kaka zao msimu wa 95 km sikosei... Ajax ile ilikuwa na vipaji vikubwa km ajax hii ya sasa, wana chemistry nzuri mnoo.. Tatizo lao umaliziaji, wana utoto mwingi kwenye finishing, nafasi 10 za wazi wanafunga 2..
Ajax ile ya mwisho ilikuwa moto ndani wamo
Edwin van de saar
Frank de boer
Ronald de boer
Edgar Davids
Nwakwo kanu
Clarence seerdorf
Marc overmars
Patrick kluivert!! N.k

Ambao wote walikuja kuwa masupastaa wakubw baadae hii inaonesha ni kiasi gani walikuwa na timu yenye vipaji vikubwa.. Kwa soka lao km angepita man city angewasumbua kwa Tottenham inawezekana wakapenya wakatinga fainali na wakaweza kuushangaza ulimwengu, vijana ni wapambanaji mnooo.. Ukiwatangulia goli moja ndio inakuwa kama umechokoza nyuki mchana.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hata Ajax ya 2002 ya akina Christian Chiev, Wensley Sneider, Peaner, Zlatan na RV n.k
 
Back
Top Bottom