Ajax FC (AFC) Special Thread

Ajax FC (AFC) Special Thread

Nikisema baada ya ucl kuisha, huu uzi utakuwa ndio mwisho wake. Tangu may ndio leo unapandishwa. Hata zile tetesi za kuuzwa kwa captain wenu mlishindwa kuzileta hapa.

Naona ule moto wenu kidogo umepungua, yale makali ya last season hayapo.
 
Tunarudi upya. Karibuni wanafamilia wa Ajax.
 
5-0 win today against Fortuna Sittard.

Karibu tena kwa daily updates za timu yetu pendwa.
 
IMG_4473.jpg

Another good win against Fc Groningen at home.
 
Back
Top Bottom