Ajibu aigomea TP Mazembe Sasa kuelekia Simba SC

brave one

JF-Expert Member
Joined
Feb 5, 2013
Posts
4,879
Reaction score
7,386
Baada ya Yanga kuwasilisha documents zote zinazousu mchezaji Ibrahim Ajib kwa TP Mazembe Kama walivyoomba
TP Mazembe wameijibu Yanga kwamba wamejitoa katika mbio za kukamilisha usajili wa Ajibu kwasababu wameshindwa kukubaliana maslahi binafsi na mchezaji huyo.
Taatifa za ndani zinasema watu wa karibu wa Ajibu wamemshawi kuelekea kujiunga na Simba kwani atapata maslahi kama atakayolipwa Mazembe
 
Huo ni ukichaa kukataa kwenda timu kubwa kama mazembe hata kama angelipwa kidogo lakini mguu uliotoka so sawa na uliokaa wabongo hatuwezi kuchukua afcon kwa matope ya akili za kuoza kama hizi.
 
Weka barua yote, hii haina nembo ya Mazembe
 
Barua ya kuchonga.
 
barua ya uongo hio

mazembe na ajib walishasain mkataba sasa personal terms zip mnaongelea hapo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…