Itakuwa alishatafuna ela za Mo kitambo huyu jamaa.. Dogo anaringia nini huyu.Amezingua sana,huwezi kukataa of a ya mazembe huo ndio ulikuwa mwanzo wa yeye kufika mbali kisoka kama sama goal.
Ni ujinga wa hali ya juu kukubali kulipwa kidogo kisa uitwe mchezaji wa mazembe, samatta hakuwa boya alianza na mshahara wa $10000 na bonansi ya $1000 kila goli la Club bingwa, football mchezo wa muda aende anakolipwa vizuriHuo ni ukichaa kukataa kwenda timu kubwa kama mazembe hata kama angelipwa kidogo lakini mguu uliotoka so sawa na uliokaa wabongo hatuwezi kuchukua afcon kwa matope ya akili za kuoza kama hizi.
Inawezekana an ofa kwingineko
Hivi penye miti kuna wajenzi?????????????????????????Baada ya Yanga kuwasilisha documents zote zinazousu mchezaji Ibrahim Ajib kwa TP Mazembe Kama walivyoomba
TP Mazembe wameijibu Yanga kwamba wamejitoa katika mbio za kukamilisha usajili wa Ajibu kwasababu wameshindwa kukubaliana maslahi binafsi na mchezaji huyo.
Taatifa za ndani zinasema watu wa karibu wa Ajibu wamemshawi kuelekea kujiunga na Simba kwani atapata maslahi kama atakayolipwa Mazembe
View attachment 1108886
Samatta ana mke na watoto piaAjibu ameoa na ana mtoto hivyo kiafrica sio rahisi sana kusonga mbele.
Mishe kama bizi waachie serengeti boys.
Wakati Samatta anaenda TP Mazembe hakuwa na mke wala mtoto ,ulikuwa umri sahihi yeye kwenda nje Ajibu alishachelewaSamatta ana mke na watoto pia
Mantiki ni kuwa na mke na watoto ni kishawishi kikubwa cha kuwa na kiu ya mafanikioWakati Samatta anaenda TP Mazembe hakuwa na mke wala mtoto ,ulikuwa umri sahihi yeye kwenda nje Ajibu alishachelewa
Pengine amezikumbuka bodaboda
HujaelewaMantiki ni kuwa na mke na watoto ni kishawishi kikubwa cha kuwa na kiu ya mafanikio
Siyo kweli kwani kuna wengi tu wamefanikiwaHujaelewa
Ni ngumu sana Mtanzania mwenye mke na mtoto kwenda kufanya kazi nje
Wamefanikiwa kwenye soka ??Siyo kweli kwani kuna wengi tu wamefanikiwa
PoaNi ujinga wa hali ya juu kukubali kulipwa kidogo kisa uitwe mchezaji wa mazembe, samatta hakuwa boya alianza na mshahara wa $10000 na bonansi ya $1000 kila goli la Club bingwa, football mchezo wa muda aende anakolipwa vizuri
Bora kujaribu unaweza ukadumu kila MTU na bahati yake.Wamefanikiwa kwenye soka ??
Mpira una umri wake ndio maana nakwambia Samatta ,Ulimwengu walifanya uamuzi bora sana kwenda kucheza TP Mazembe wakiwa bado vijana hata miaka 20 walikuwa hawajafikisha,Ajibu ameshachelewa hata akienda nje hawezi kucheza misimu zaidi ya 2 atarudi bongo
Kina Ngassa,Ajibu,Boko,Kaseja ni wachezaji walikuwa na uwezo wa kucheza nje lakini walichelewa kwenda
Kwa hiyo simba watamlipa dola ngapi!Ni ujinga wa hali ya juu kukubali kulipwa kidogo kisa uitwe mchezaji wa mazembe, samatta hakuwa boya alianza na mshahara wa $10000 na bonansi ya $1000 kila goli la Club bingwa, football mchezo wa muda aende anakolipwa vizuri