Ajifungua Akiwa Safarini Kwenye Basi Kampuni ya Katarama

TODAYS

JF-Expert Member
Joined
Apr 30, 2014
Posts
14,747
Reaction score
24,250
Inaweza kuwa safari yenye huzuni na kukushtua endapo kunatokea taarifa za kuogofya za ajali hama hama tukio lenye kuhuzunisha.

Hapo hapo safari inaweza kuwa na furaha endapo safarini kuna vicheko kwa wasafiri.

Tukio lililotokea majira ya saa 19:34 maeneo ya dumila karibu na mzani ni mshangao.

IMG_20241022_202038.jpg

Censored image ☝🏾

Ni abiria aliyekuwa anatokea Dar Es Salaam aliyefahamika kwa jina moja la Aneth kuelekea Bukoba amejifungua mtoto wa kike akiwa safarini.

Hatimaye Mama na mtoto wamebaki kituo cha Afya hapo Dumila kwa uangalizi wa wataalam wa Afya.

Hongera kwa wamama wote waliotoa msaada na hatimaye mzazi kujifungua salama, asante kwa kampuni ya Katarama kwa ushirikiano mliotoa.

USHAURI; Wenye makampuni ya mabasi naona haja ya kuwapa elimu zaidi wafanyakazi wenu hata hii ya ukunga, maana si mara ya kwanza kwa tukio kama hili.
 
Tumshukuru Mungu kwa kila kitu kilichopita hapo mpaka wakawq salama Mama na Mtoto. Ni funzo kubwa kwetu wana familia kwa ujumla walipashwa wana ndugu wamzuie kusafiri ktk hali ya kukaribia kujifungua ni hatari sana kwa Mama na Mtoto.
 
Mungu ni mwema sana, awajalie kheri mama na Mtoto wawe salama lakini pia awabariki wote waliotoa msaada.

UMETOA USHAURI MZURI SANA, NI VYEMA KILA BUS LIKAWA NA TRAINED FIRST AIDER na vifaa vyote vya first aid.

Mabus yetu yanasafiri safari ndefu sana.
 
Inaweza kuwa safari yenye huzuni na kukushtua endapo kunatokea taarifa za kuogofya za ajali hama hama tukio lenye kuhuzunisha.

Hapo hapo safari inaweza kuwa na furaha emdapo safarini kuna vicheko kwa wasafiri.

Tukio lililotokea majira ya saa 19:34 maeneo ya dumila karibu na mzani ni mshangao.

View attachment 3132869
Censored image ☝🏾

Ni abilia aliyekuwa anatokea Dar Es Salaam aliyefahamika kwa jina moja la Aneth kuelekea Bukoba amejifungua mtoto wa kike akiwa safarini.

Hatimaye Mama na mtoto wamebaki kituo cha Afya hapo Dumila kwa uangalizi wa wataalam wa Afya.

Hongera kwa wamama wote waliotoa msaada na hatimaye mzazi kujifungua salama, asante kwa kampuni ya Katarama kwa ushirikiano mliotoa.

USHAURI; Wenye makampuni ya mabasi naona haja ya kuwapa elimu zaidi wafanyakazi wenu hata hii ya ukunga, maana si mara ya kwanza kwa tukio kama hili.
Huyo msafiri hakujua siku zake au amejifungua njiti
 
Kampuni ya Katarama si imefungiwa? Au inasafirisha abiria kisirisiri?
 
Makonda wote wachukue Certificate of Emmergency Medicine, wengine wadeal na ukunga, wengine fire fighting, First Aid, nk
Haiezekani Bus zima watu zaidi ya 50 kusiwe na tahadhali yoyote.
 
Inaweza kuwa safari yenye huzuni na kukushtua endapo kunatokea taarifa za kuogofya za ajali hama hama tukio lenye kuhuzunisha.

Hapo hapo safari inaweza kuwa na furaha emdapo safarini kuna vicheko kwa wasafiri.

Tukio lililotokea majira ya saa 19:34 maeneo ya dumila karibu na mzani ni mshangao.

View attachment 3132869
Censored image ☝🏾

Ni abilia aliyekuwa anatokea Dar Es Salaam aliyefahamika kwa jina moja la Aneth kuelekea Bukoba amejifungua mtoto wa kike akiwa safarini.

Hatimaye Mama na mtoto wamebaki kituo cha Afya hapo Dumila kwa uangalizi wa wataalam wa Afya.

Hongera kwa wamama wote waliotoa msaada na hatimaye mzazi kujifungua salama, asante kwa kampuni ya Katarama kwa ushirikiano mliotoa.

USHAURI; Wenye makampuni ya mabasi naona haja ya kuwapa elimu zaidi wafanyakazi wenu hata hii ya ukunga, maana si mara ya kwanza kwa tukio kama hili.
Hata mim zamani nikiwa nasafiri kuna msukuma mmoja wa usukumani alijifungua njiani. Ikabidi basi isimame, wamama wakaenda naye vichakani kumzalisha. Walivyomaliza wakarudi kwenye basi safari ikaendelea. Tulipofika hospitali ya wilaya ilibidi aende hospitali huku sisi tukiendeles na safari.
 
Back
Top Bottom