MGOGOHALISI
JF-Expert Member
- Apr 16, 2011
- 3,294
- 4,920
Umachikiweka mbele ya watu ndicho kinachokitafsiri ulivyo. Hatuwezi kuhoji kila mtu ili tumjue alivyo. Hiyo safari ya basi kwa mja mzito dar to kigoma ni big no maana ni risk ya maisha. Sasa wewe niambia alikua anatafuta nini chenye dhamani zaidi ya maisha.Shotocan
Kila jambo lina sababu yake, wkt umemuita huyo mzazi kichaa, nilitamani ungepata nafasi kuonana naye na kumuuliza kisa na mkasa kilicho mpelekea Kusafiri ktk hali ile!.