Ajifungua Akiwa Safarini Kwenye Basi Kampuni ya Katarama

Ajifungua Akiwa Safarini Kwenye Basi Kampuni ya Katarama

Inaweza kuwa safari yenye huzuni na kukushtua endapo kunatokea taarifa za kuogofya za ajali hama hama tukio lenye kuhuzunisha.

Hapo hapo safari inaweza kuwa na furaha emdapo safarini kuna vicheko kwa wasafiri.

Tukio lililotokea majira ya saa 19:34 maeneo ya dumila karibu na mzani ni mshangao.

View attachment 3132869
Censored image ☝🏾

Ni abilia aliyekuwa anatokea Dar Es Salaam aliyefahamika kwa jina moja la Aneth kuelekea Bukoba amejifungua mtoto wa kike akiwa safarini.

Hatimaye Mama na mtoto wamebaki kituo cha Afya hapo Dumila kwa uangalizi wa wataalam wa Afya.

Hongera kwa wamama wote waliotoa msaada na hatimaye mzazi kujifungua salama, asante kwa kampuni ya Katarama kwa ushirikiano mliotoa.

USHAURI; Wenye makampuni ya mabasi naona haja ya kuwapa elimu zaidi wafanyakazi wenu hata hii ya ukunga, maana si mara ya kwanza kwa tukio kama hili.
Hongera yake
 
Back
Top Bottom