Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kihaya likimanisha mtoto wa kike anaye wafatia mapacha kama sikosei.Nyamwiza mkurya?
Ndege Huwa zinatoa life time ticket Kwa Kichanga,na wao wampeInaweza kuwa safari yenye huzuni na kukushtua endapo kunatokea taarifa za kuogofya za ajali hama hama tukio lenye kuhuzunisha.
Hapo hapo safari inaweza kuwa na furaha endapo safarini kuna vicheko kwa wasafiri.
Tukio lililotokea majira ya saa 19:34 maeneo ya dumila karibu na mzani ni mshangao.
View attachment 3132869
Censored image ☝🏾
Ni abiria aliyekuwa anatokea Dar Es Salaam aliyefahamika kwa jina moja la Aneth kuelekea Bukoba amejifungua mtoto wa kike akiwa safarini.
Hatimaye Mama na mtoto wamebaki kituo cha Afya hapo Dumila kwa uangalizi wa wataalam wa Afya.
Hongera kwa wamama wote waliotoa msaada na hatimaye mzazi kujifungua salama, asante kwa kampuni ya Katarama kwa ushirikiano mliotoa.
USHAURI; Wenye makampuni ya mabasi naona haja ya kuwapa elimu zaidi wafanyakazi wenu hata hii ya ukunga, maana si mara ya kwanza kwa tukio kama hili.
Hata mimi nimeliwaza hili😊Hongera yake ningekua boss wa Katarama mtoto ningempa free access ya kusafiri
Katarama bus service eee☺️😊Angekuwa Mkinga mtoto angepewa jina la basi.
Wakinga wamekukosea nini? Hayo ni mamabo ya akina mwakaleli na mwakasifu au mwakaliftiAngekuwa Mkinga mtoto angepewa jina la basi.
Ulitakiwa kujibu swali badala ya kuleta utito wa kujifanya ni mfiatiliaji.Upo nyuma sana kwenye kufuatilia habari kijana wangu!.
Usitegemee JF pekee, mara moja moja uwe unaingia hata X.
Ndio hujawa😂Hongera yake ningekua boss wa Katarama mtoto ningempa free access ya kusafiri
Kihaya likimanisha mtoto wa kike anaye wafatia mapacha kama sikosei.
Shida ipo kubwa sana. Ni vile amejifungua salama.Kuna shida
Mama hakujua amefikia muda wa kujifungua?
Ni Fimbo haswaa!!HII CHUMA KATARAMA hii SCANIA NI BALAA
Sizani kama Kuna kampunia ya mabasi hapa bongo inachungulia