Labda alijipima mwenyeweHakupata watalaamu wa saikolojia mara baada ya kupima? Hapo hospital lazima unapewa elimu sahihi Kwa ajili ya kupokea aina zote mbili za majibu. Yaani hasi au chanya. Anyways, ameukosa ufalme wa Mbinguni kizembe. Sabato njema.
Sent from my M2006C3MG using JamiiForums mobile app
Akili kama zako ndio zinafanya watu wajikatie tamaa na kujiona hawafai. Alafu maneno hayo ni ni mabaya hata mbele ya Mungu.Kaokoa wengi. Huo mnyororo ambao angetengeneza miaka 10 ijayo balaa. Huyu ni shujaa; kafa kwa ajili ya wengi.
Wazungu wangesema "she took one for the team". 😀Kaokoa wengi. Huo mnyororo ambao angetengeneza miaka 10 ijayo balaa. Huyu ni shujaa; kafa kwa ajili ya wengi.
Sophia Charles Odipo mwenye umri wa miaka 23 Mkazi wa Mseto amefariki baada ya kujinyonga chanzo kikiwa ni baada ya kwenda Hospitali kupima afya yake mara mbili na kugundulika ana maambukizi ya Virusi vya UKIMWI.
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Geita, Henry Mwaibambe amesema "Huyu Dada alijinyonga kwa kamba mpaka kufa chumbani kwake baada ya kwenda Hospitali na kugundulika ana maambukizi ya UKIMWI"
Millard
Apumzike Kwa Amani!Sophia Charles Odipo mwenye umri wa miaka 23 Mkazi wa Mseto amefariki baada ya kujinyonga chanzo kikiwa ni baada ya kwenda Hospitali kupima afya yake mara mbili na kugundulika ana maambukizi ya Virusi vya UKIMWI.
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Geita, Henry Mwaibambe amesema "Huyu Dada alijinyonga kwa kamba mpaka kufa chumbani kwake baada ya kwenda Hospitali na kugundulika ana maambukizi ya UKIMWI"
Millard
Mkuu watu hawana elimu ya ukimwi badoMkuu una uhakika gani kuwa huo Ukimwi ameupata kwa njia ya dhambi? Ukimwi hauambukizi kwa njia ya ngono pekee japo kujiua ni kosa kisheria na kidini.
Fatilia statistics za umri unaobakwa sana na ukimwiMkuu una uhakika gani kuwa huo Ukimwi ameupata kwa njia ya dhambi? Ukimwi hauambukizi kwa njia ya ngono pekee japo kujiua ni kosa kisheria na kidini.
Huku Geita mbona watu wamejiua na kuuwa sana wiki mbili hizi?/Kuna binti miaka 17 ambaye amejinyoka baada ya kuachika mara Tatu, kuna yule Bwana wa Mgodini ambaye mkewe aneuawa nyumbani ye wkiwa kazini, halafu huyu...!I see kafa na utamu wake, R.I.P Sophia
So far hii ni moja ya comment ya kipuuzi ndani ya miaka hii mitatuUkimwi wenyewe haupo,, yani basi tu tunaangamia kwa kukosa maarifa,,