Ajinyonga baada ya kugundua ana virusi vya Ukimwi

Ajinyonga baada ya kugundua ana virusi vya Ukimwi

Sofi weee kwanini ujiue kwani hukujua kwamba ukila tunda bila kinga ni kuweka afya yako rehani
Sasa umekufa jaman umeacha simanzi kwa familia
 
Kaokoa wengi. Huo mnyororo ambao angetengeneza miaka 10 ijayo balaa. Huyu ni shujaa; kafa kwa ajili ya wengi.
Wazungu wangesema "she took one for the team". 😀

Ujinga ni kujiua leo kwa sababu umegundua una ugonjwa ambao utakuua miaka 30 ijayo.
 
Huu ukimwi wa kunenepa mtu anajinyonga!!
Angekuwepo kipindi cha ukimwi wa kukonda si angekula nyama yake kabisa.
Sophia Charles Odipo mwenye umri wa miaka 23 Mkazi wa Mseto amefariki baada ya kujinyonga chanzo kikiwa ni baada ya kwenda Hospitali kupima afya yake mara mbili na kugundulika ana maambukizi ya Virusi vya UKIMWI.

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Geita, Henry Mwaibambe amesema "Huyu Dada alijinyonga kwa kamba mpaka kufa chumbani kwake baada ya kwenda Hospitali na kugundulika ana maambukizi ya UKIMWI"

Millard
 
Apumzike Kwa Amani!
 
Duh vijana hakuna hawana uvumilivu kabisa siku hizi.
 
Hv kama unajua hutaweza kuhimili ishu zahuu ugonjwa kama ukikutwa nao sasa unaenda kupima ili ugundue nin, pumzika zako hom endelea namaisha mambo yakupima kila mwez ndo hayo... Nyie mnaopima kila mwez ipo siku mnachokitafuta huko kweny vipimo mtakipata
 
I see kafa na utamu wake, R.I.P Sophia
Huku Geita mbona watu wamejiua na kuuwa sana wiki mbili hizi?/Kuna binti miaka 17 ambaye amejinyoka baada ya kuachika mara Tatu, kuna yule Bwana wa Mgodini ambaye mkewe aneuawa nyumbani ye wkiwa kazini, halafu huyu...!
 
Angejenga Nchi kwanza, afe naturally, kama taifa tumeingia hasara ya kuhudumia mpumbavu mmoja, sielewi ngoma watu wana survive miaka na miaka, na sasa hivi kuna dawa za kufubaza virusi, juzi kuna mwanamke kapona kwa trial inayoendea ya dawa
 
Back
Top Bottom