Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huo ndio muda wa mzazi kusema nimeuza ng'ombe ili nipeleke ng'ombe shuleSiasa bhana,hapo wazazi wakimsikia Waziri alivyosema,wanakua hawawaelewi watoto wao pale wakijibiwa BADO hawajafungua system.Magu ana madhaifu yake,ila alikua hapendi ujingaujinga.
TANGAZO limetoka janaWatoe Tangazo la ajira sasa
TANGAZO limetoka janaWatoe Tangazo la ajira sasa
[emoji23][emoji23]watuletee tu hiyo PDF tuanze kupambania kombe wasaka tonge
Bado mkuu, tamisemi hakuna tangazoTANGAZO limetoka jana
Lile wahusika walisema Ni FEKITANGAZO limetoka jana
Lile ndilo lenyewe,Lile wahusika walisema Ni FEKI
Lile ndilo lenyewe,Bado mkuu, tamisemi hakuna tangazo
Ni fake Tamisemi walikanushaLile ndilo lenyewe,
Huoni Kama alichosema waziri ndicho kilichopo kwenye lile TANGAZO?
Shombe we ni kichwa sana Amigo. One thing, badili hilo jina basi na io avatar uitoe kidume anakuaje na elements za pisi kali?Ndo maana nimekuambia tulia,, hv we ni wa wapi..?
Mzee,Ni fake Tamisemi walikanusha
Mbona halifunguki
Mfumo haufunguki.
[emoji23][emoji23][emoji23]Wabongo tunapenda kujitesa sanaLile ndilo lenyewe,
Huoni Kama alichosema waziri ndicho kilichopo kwenye lile TANGAZO?
wanakazana kukuambia wewe omba tu , wametangaza bungeni.Wazaz wanakuona hufatilii mambo ya muhimu