Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
🤝🤝Hii nchi ubabaishaji mwingi sana...
Waziri mzima unatoa matamko ambayo hayajathibiti!
Tangazo linasema wamefungulia dirisha la kutuma maombi kuanzia tarehe 20/04 lakin cha ajabu hadi sasa mfumo umefungwa!
Nashauri mamlaka zetu ziwe zinafanya maandalizi ya kutosha kwanza na kuhakikisha kila kitu kiko sawa ikiwemo mfumo wenyewe kabla ya kutoa matamko/press release za kisenge kama hizi
Vitu gani vya muhimu vinavyohitajikaMfumo umekaa poa ss, nishafanikiwa kutuma mzigo
Iviiiiii kada ni mbili tu ajira ma afyaaa baaaasWaziri wa TAMISEMI, Innocent Bashungwa, amewataka Watanzania wenye sifa waombe nafasi za kazi kuanzia leo, baada ya serikali kutangaza nafasi za ajira 17,412, kwa kada ya elimu na afya.
Kauli hiyo ameitoa hii leo Aprili 20, 2022, Bungeni Dodoma, wakati akihitimisha hoja ya bajeti ya Ofisi ya Rais TAMISEMI kwa mwaka wa fedha 2022/2023.
"Nimshukuru Rais Samia kwa kutoa idhini ya ajira za watumishi wa afya na elimu 17,412, ambapo nafasi 9,800 ni za walimu na 7,612 ni kada za afya ambao wataajiriwa mwaka huu wa fedha 2021/22, nitoe taarifa rasmi kwamba Watanzania wenye sifa wanaelekezwa kuomba kuanzia leo, maombi ya ajira hizi ni bure," amesema Waziri Bashungwa.
We umesoma kozi ipi.. hiz Ajira mpya zimetoka kwa kada zenye kipaumbele.. kama umesoma uhasibu Kuna Ajira za TRA Omba chap..Iviiiiii kada ni mbili tu ajira ma afyaaa baaaas
ukute hajaweza kufungua,ni mbwembwe tu.Vitu gani vya muhimu vinavyohitajika
Kwa navyoujua Huu mfumo utakaa sawa after 4 days hukoukute hajaweza kufungua,ni mbwembwe tu.
Kwa navyoujua Huu mfumo utakaa sawa after 4 days huko
Mwaka Jana mfumo ulikuwa vizuri kinyamaKwa navyoujua Huu mfumo utakaa sawa after 4 days huko
Mambo ya siasaAjira za Sheria zitasimamiwa na Mahakama kuu..? maana Hadi leo hatujaona matangazo ya zile Ajira na walisema ziko 500+
Hata watu wa Kilimo na mifugo.. zote kimya...
Kwahyo unamaanisha hizo hazipo..etyMambo ya siasa
Mbona kwenye kufungua account inasumbuaMfumo umefunguka
Zinaweza zikawepo ila hawa watu wanafanya kazi kwa ajili ya kulinda image yao sio kwa ajili ya kumnufaisha mimi au wewe. Ndio siasa ilivyo.Kwahyo unamaanisha hizo hazipo..ety
Ajira za Sheria zitasimamiwa na Mahakama kuu..? maana Hadi leo hatujaona matangazo ya zile Ajira na walisema ziko 500+
Hata watu wa Kilimo na mifugo.. zote kimya...
Kwenye Tangazo la ajira za afya yapo maelekezo. Rudi kasome TangazoHiv inakuaje kama nimeomba ajira za wizara ya afya then nikaomba na ajira za TAMISEMI ?