Jeremy Bentham
Senior Member
- Apr 22, 2019
- 118
- 131
Boss unaweza ukatuma hy pdf kwa picha kama hv ulivyofanya mana kwangu naona pdf hazifunguki na kwenye mfumo inanigomea kufunguka.
Naomba
Hau log inMfumo upo OK sasaView attachment 2195330
Ku login ni issue, hata kutengeneza account.Mfumo upo OK sasaView attachment 2195330
Fungua account mpya au jaribu mara Kwa maraHau log in
Shukrani sana.
ss unahakiki vya nn wakat kwenye mfumo wanataka upload vyet og......reference ya mwaka jana hakukua na kuhakiki veti....usipotezee watu elaa na mda mana hata kwenye tangazo hakuna huo utopoloo
Kwenye Tangazo la wizara ya afya
Ku login ni issue, hata kutengeneza account.
Sasa hv hakuna kubishana, mtu unaelimishwa ukikaza kichwa hakuna wa kuhangaika naweUnawezaje ku-upload vyeti OG? Kuna ujinga mwingine unachekesha sana.
Sasa hv hakuna kubishana, mtu unaelimishwa ukikaza kichwa hakuna wa kuhangaika nawe
Itakuwa alimaanisha unascan OG ndio unatuma sio copy.Sio kubishana sio wote tunaomba kazi, elezea tu vyeti OG unawezaje ku-upload 'hardcopy' online?
Huyo anaelewa kila kitu ila tuu analeta uchiziItakuwa alimaanisha unascan OG ndio unatuma sio copy.
Kama hujui kitu uwe unauliza acha ujuaji utafeli mambo mengi sana ndugu.Unawezaje ku-upload vyeti OG? Kuna ujinga mwingine unachekesha sana.
perfect 100% unaachwa ufanye unavyojua over!!!Sasa hv hakuna kubishana, mtu unaelimishwa ukikaza kichwa hakuna wa kuhangaika nawe
Huyo anajua kila kitu ila anajitia uchiziKama hujui kitu uwe unauliza acha ujuaji utafeli mambo mengi sana ndugu.
Haya mambo wanacomplicate Ajira portal tu.. kama mtu cheti ni chake basi ni chake tu.. yaan imeweka Hadi namba za Nida na majina yanafanana.. uharamu huo unatokea wapi.. hawa Tamisemi ni wajanja sana na wanajielewa kabisa