Ajira 17,412 kwa kada za Elimu na Afya zatangazwa. Wananchi wenye sifa wahimizwa kuomba nafasi

Ajira 17,412 kwa kada za Elimu na Afya zatangazwa. Wananchi wenye sifa wahimizwa kuomba nafasi

Kuna aliyefanikiwa?
Tangu saa 12 asubuhi ni hivi

Screenshot_2022-04-21-18-08-01-312_com.android.chrome.jpg
 
Boss, najua kila mtu ana changamoto zake lkn kwenye hili jambo la kutokuwa na namba ya nida aisee kwangu mm ni uzembe wa hali ya juu kabisa hasa kwa kijana ambaye unataka kazi.

We jamaa hizi nafasi lazima upate aisee, la sivyo utateseka mno.
 
Ndo maana nimekuambia tulia,, hv we ni wa wapi..?
Mabilionea wanahaha kwenye website ya ortamisemitz kusaka fursa za Ualimu.....Achana na standards za mtandaoni...watu Wana msoto nyuma ya Keyboards huko....sema huwa wanajiliwaza tu kuwaponda walimu walioko field
 
bado mambo si mambo, walimu 9,800 tu kwa msingi, sekondari, vyuo sijui, ulemavu n.k ni idadi ndogo sana. Katata kangu tu (kata inayoonekana ina ahueni) kuna upungufu wa zaidi ya walimu ishirini.....upungufu wa wazi kabisa unaoonekana!
Hako kaidadi kanaishia tu hukohuko kwenye connection za wakurugenzi wa tamisemi, huku mtaani tutasindikiza tu!!
Hiyo ni 2021/22 ,bado kuna ajira za 2022/2023 by next year mwezi kama huu Soma hapo 👇

Screenshot_20220421-203409.png
 
Naombeni msaada

Taratibu za kufanya ikiwa jina limekosewa kwenye kitambulisho cha taifa yaan lipo tofauti na kwenye vyeti
 
Back
Top Bottom