somalilady
Member
- Mar 8, 2021
- 23
- 27
Ni lazma namba ya nida jaman?Oops, namba ya NIDA ni lazima.....duuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni lazma namba ya nida jaman?Oops, namba ya NIDA ni lazima.....duuu
Oops, namba ya NIDA ni lazima.....duuu
Mpaka leo hii hamna namba ya nida.?Ni lazma namba ya nida jaman?
Usiseme uzembe huwezi jua wameshindwa kuipata kwa sababu gani.Mpaka leo hii hamna namba ya nida.?
Sasa hivi nida ni muhimu na lazima kama chakula.
Huo ni uzembe usiokuwa wa kawaida.
Kwenye pc unafunguka lakini haukubali ku log in
Kulog in unatumia username na password uliyotumia kuingia kwenye mfumoKwenye pc unafunguka lakini haukubali ku log in
Boss, najua kila mtu ana changamoto zake lkn kwenye hili jambo la kutokuwa na namba ya nida aisee kwangu mm ni uzembe wa hali ya juu kabisa hasa kwa kijana ambaye unataka kazi.Usiseme uzembe huwezi jua wameshindwa kuipata kwa sababu gani.
Usihangaike naye Tp nenda kascan vyeti vyako tuma kuhakiki walihakiki NECTA na TCU. Chunga MATAPELISio kubishana sio wote tunaomba kazi, elezea tu vyeti OG unawezaje ku-upload 'hardcopy' online?
Boss, najua kila mtu ana changamoto zake lkn kwenye hili jambo la kutokuwa na namba ya nida aisee kwangu mm ni uzembe wa hali ya juu kabisa hasa kwa kijana ambaye unataka kazi.
Bro mm sijasomea ualimu.We jamaa hizi nafasi lazima upate aisee, la sivyo utateseka mno.
Elimu na afyaBro mm sijasomea ualimu.
Bro mm sijasomea ualimu.
Elimu na afya
Nna diploma in film production.Ni wapi nimetaja ualimu hapo?
Mabilionea wanahaha kwenye website ya ortamisemitz kusaka fursa za Ualimu.....Achana na standards za mtandaoni...watu Wana msoto nyuma ya Keyboards huko....sema huwa wanajiliwaza tu kuwaponda walimu walioko fieldNdo maana nimekuambia tulia,, hv we ni wa wapi..?
[emoji23]kila la kheriMi ndo nawaza kufuata cheti chuo hapa nipitie na nida kuchukua kitambulisho
Hiyo ni 2021/22 ,bado kuna ajira za 2022/2023 by next year mwezi kama huu Soma hapo 👇bado mambo si mambo, walimu 9,800 tu kwa msingi, sekondari, vyuo sijui, ulemavu n.k ni idadi ndogo sana. Katata kangu tu (kata inayoonekana ina ahueni) kuna upungufu wa zaidi ya walimu ishirini.....upungufu wa wazi kabisa unaoonekana!
Hako kaidadi kanaishia tu hukohuko kwenye connection za wakurugenzi wa tamisemi, huku mtaani tutasindikiza tu!!
Kwamba liliandikwa vibaya, au unatumia majina mawili kwenye vyeti uku Nida yakiwa matatuNaombeni msaada
Taratibu za kufanya ikiwa jina limekosewa kwenye kitambulisho cha taifa yaan lipo tofauti na kwenye vyeti