Ajira ambazo zipo wazi hadi sasa Duniani kwa watoto wetu

Hepatis B

Senior Member
Joined
Feb 11, 2013
Posts
193
Reaction score
155
Hello!

Naongelea ajira wazi kwa wazazi hadi sasa ambazo zipo wazi hadi sasa duniani kwa watoto wetu. Usimlazimishe mtoto wako apate A class ambazo hazina maana mbeleni maisha mwake; Cheki na hizi ajira huwa hazijai.

1. Boxing: Ajira hii kama unamuona mtoto wako anakipaji cha hii kitu anza kumfundisha mwanao. Boxing ni hela sana duniani kote hamna mchezo unafika hapa kwa hela.

2. Mpira wa miguu: Kama mwanao anakipaji na hii kitu mkazanie tu hamna namna hata PHD holder hafikii kwa mshahahara wa hawa jamaa. Na michezo mingine inatoa mshahara mikubwa n.b basketball.

3. Sanaa: Hapa namaanisha mziki, uagizaji na mambo mengi sana yapo ndani ya sanaa yana hela.

4. Ufundi:
Hapa namaanisha kutengeneza bidhaa mpya kama kushona nguo n.k. Pia ufundi wa vitu ambavyo wa vitu vimeharibika kama tv, radio, phones, cars na mengineyo mengi.

Yangu hayo kama una la kuongezea ni bando lako tu karibu.
 
Hello!

Naongelea ajira wazi kwa wazazi hadi sasa ambazo zipo wazi hadi sasa duniani kwa watoto wetu! Usimlazimishe mtoto wako apate A class ambazo hazina maana mbeleni maisha mwake. Cheki na hizi ajira huwa hazijai.

1. Boxing ajira hii kama unamuona mtoto wako anakipaji cha hii kitu anza kumfundisha mwanao. Boxing ni hela sana duniani kote hamna mchezo unafika hapa kwa hela.

2. Mpira wa miguu. Kama mwanao anakipaji na hii kitu mkazanie tu hamna namna hata PHD holder hafikii kwa mshahahara wa hawa jamaa. Na michezo mingine inatoa mshahara mikubwa n.b basketball.

3. Sanaa. Hapa namaanisha mziki, uagizaji na mambo mengi sana yapo ndani ya sanaa yana hela.

4. Ufundi. Hapa namaanisha kutengeneza bidhaa mpya kama kushona nguo n.k. Pia ufundi wa vitu ambavyo wa vitu vimeharibika kama tv, radio, phones, cars na mengineyo mengi

Yangu hayo kama una la kuongezea ni bando lako tu karibu!
Na usilazimishe mtoto wako pia apigane boxing wakati kipaji hana watamuua kwenye ulingo..
 
Hello!

Naongelea ajira wazi kwa wazazi hadi sasa ambazo zipo wazi hadi sasa duniani kwa watoto wetu! Usimlazimishe mtoto wako apate A class ambazo hazina maana mbeleni maisha mwake. Cheki na hizi ajira huwa hazijai.

1. Boxing ajira hii kama unamuona mtoto wako anakipaji cha hii kitu anza kumfundisha mwanao. Boxing ni hela sana duniani kote hamna mchezo unafika hapa kwa hela.

2. Mpira wa miguu. Kama mwanao anakipaji na hii kitu mkazanie tu hamna namna hata PHD holder hafikii kwa mshahahara wa hawa jamaa. Na michezo mingine inatoa mshahara mikubwa n.b basketball.

3. Sanaa. Hapa namaanisha mziki, uagizaji na mambo mengi sana yapo ndani ya sanaa yana hela.

4. Ufundi. Hapa namaanisha kutengeneza bidhaa mpya kama kushona nguo n.k. Pia ufundi wa vitu ambavyo wa vitu vimeharibika kama tv, radio, phones, cars na mengineyo mengi

Yangu hayo kama una la kuongezea ni bando lako tu karibu!
👏🏻👏🏻👏🏻
 
Udalali wa viwanja!
 
THE GREAT LOSS IN LIFE IS TO LET YOUR TALENT DIE WHILE YOU'RE STILL ALIVE- 2PAC OMAR SHAKUR

Kazi rahisi kwangu ilikua Ni mpira wa miguu Ila Mimi nili udharau mpira wa miguu
(namzungumzia miaka ya Zamani TFF ikiitwa FAT)

Mimi nina kipaji cha mahesabu Economic

Yaani nilibidi nisome uchumi ningeisadia Sana nchi yangu Tz.

I can control money easily
 
Back
Top Bottom