Ajira katika TISS zitangazwe?

Umeandika upupu hakuna LA maana
 
mmmmmh naogopa
 
Asante kwa uzi wenye kuelimisha na kuondoa sitofahamu iliyoko mtaani..asante Sana mkuu lkn naomba kujua je, hao usalama wa taifa wanaweza kumtafuta mtu kwa vigezo kama hivyo ulivyo sema na vipi kuhusu kiwango cha Elimu kinachotakiwa?
 
Swali la msingi, katika watu mil 50 watakuonaje wewe ambaye uko sumbawanga vijijini!!?
Kwa tz maali ambapo wapo wengi sana ni vyuoni. Kule ndio wengi huwa wanachaguliwa, au wanaweza kukuona unafaa wakaanza kukufuatilia mpaka wajiridhishe kuwa unafaa kwa kazi yao.

Lakin hawa jamaa wako kila mahali ..so inategemea na uwing wao wakati huo.
 
Pia makachero selection zao na identity zao ni very protected kiasi kwamba serikali yenyewe huwa inakana uwepo wao au uwepo wakikosi chao.

Hapa kwetu sijui wanaitaje , lakin america wanakiita special activity division(SAD) Kiko under CIA.
 
Natamani niseme kitu lakini malaika wa upande wa bega langu la kulia kaniambia ninyamaze
 
Upande wa CIA wanakikosi maalum kinaitwa special activity division (SAD) . Ndani ya hiki kikosi kuna sub division mbili , moja ina deal na siasa , nyingine ni kikosi maalum cha kuteleleza mauaji, kutegua mabom au kuvuruga mbinu za adui.

Wengi ambao wamo ndani ya SAD wamechaguliwa kutoka vikosi maalum vya makomando kama vile navy seals, delta force, marine recon.
Selection process huwa ni ngum kidogo, na kikosi cha siri ndani ya CIA kiasi kwamba hata serikal ya america inakana uwepo wake.

Upande wa FBI wana divison maalum inaitwa intelligence divion. Similar CIA SAD hiki kimebase zaid kwenye kukusanya zaid intelligencia na kuzui matukio ambayo yanataka kutoka ndani ya nchi.

Selection zao ni open kama za jeshi. Ila wako strict sana. Wana jali sana vigezo vya elimu. Na pia wanaangalia sana wale watu wenye background ya polisi au jeshi.
 
Officers wanakuwa recruited en masse kwa JKT au wanachukuliwa kwa spotting
 
zikitangazwa watajulikana kwa urahisi na wakijulikana kwa urahisi watu watawatenga wakiwatenga watakosa data wakikosa data kazi yao itakua ngumu ikiwa ngumu usalama utakua hamna
 
Ngoja tujipange kutafuta hizo sixpack pengine zitakuja hizo fursa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…