Ajira mpya 1241 kutoka Jeshi la Magereza Tanzania

Ajira mpya 1241 kutoka Jeshi la Magereza Tanzania

Duh magereza wapo local sana [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]hata Bure siendi mimi ni aibu hata kuvaa sare zao
Wanaita ugoro/sare ya madereva na makondakta wa daladala Dar. Hapo hujakutana na aliyevaa iliyopauka hadi kuchanika [emoji23]
 
Usijidanganye hakuna mbinu hizo TZ zaid ya connection had sahiz kuna vijana zaid ya vijana 6000 wanapiga course ya tpdf na hujaskia sehemu wametangaza jiulize wametoka wapi
Noma
 
Mbona tangazo halina muhuri??![emoji848]

Nenda kwenye tovuti ya Magereza utalikuta.
Msipende kukariri muhuri ndio nini sasa? Nyaraka nyingi tu hazina muhuri na ziko valid, alaf mihuri inapatikana Kariakoo mingi tu kwahiyo usitegemee mihuri sana

Ingia www.magereza.go.tz
Utaona hilo tangazo
Kama hauna ajira na sifa unazo omba, sio lazima ufanye kazi magereza unaweza ingia then ukasepa kwenda kwingine kikubwa cheki namba
 
Kila mtu ana wazo kama lako
 
"Dunia ipo kwenye karne ya techologia na sayansi sisi tumejikita kwenye u primitive wala hatuna wasiwasi".
Nimecheka sana kwa kauli hii.
 
"Dunia ipo kwenye karne ya techologia na sayansi sisi tumejikita kwenye u primitive wala hatuna wasiwasi".
Nimecheka sana kwa kauli hii.

Magereza wako sahihi
Maafisa ni watu wenye elimu na hawatakiwi kuwa wengi kuliko Askari wa kawaida.

Kuna ratio inatakiwa kuwepo kati ya maafisa na Askari.
Hapa Jeshi linataka walinzi ambao ni Askari wa kawaida na sifa zao ni kidato cha 4, kwa JWTZ walinzi ni kuanzia Std 7.

Watu wasibeze haya mambo bila kujua wanachobeza, hii formula ipo majeshi duniani huko.
Hata uende USA huwezi kukuta kila mwanajeshi ana shahada, lazima ukute darasa la masela ili kazi za kawaida ziende ikiwemo ulinzi.
Mitambo ndo itasimamiwa na wasomi na machines mbalimbali zinazoendeshwa kitaalam zaidi.

Huwezi kuajiri maafisa wengi kuliko askari wa kawaida, kumbukeni juzi kati Rasi Samia alipandisha vyeo majeshini kwahiyo maafisa wapo wa kutosha.
 
Back
Top Bottom