Hahaa
Sema we chalii jau sana, hivi ndiyo mtu wa kukata tamaa hivi hadi kitaa?
Hatukatai connection muhimu, ila walau mtu unajaribu kwa nafasi yako.
Last October nilikuambia apply lile tangazo la askari wanyama pori (Conservation Rangers) la Tanapa, ukatoa same excuses "oooh wana watu wao"
Walio -apply na kupiga ule usaili, nafasi ziliongezwa za kutosha tu na wengine waliofaulu na kubaki kwenye kanzidata, wakaitwa kama security guards (TPA) tangazo la April hapo.
Stop whining, dunia haina huruma hii.
Haya kama hujavuka 25 bado na ulipita Jakata, apply hilo la TFS - Security Guards. TFS, TAWA & TANAPA wote ni Jeshi la Uhifadhi kwa sasa, maslahi yapo.
Sent using
Jamii Forums mobile app