Ajira mpya 1241 kutoka Jeshi la Magereza Tanzania

Majeshi ni ukoo jamani ..sikilizieni wale watoto wa maskini wakifanywa geresha na vigezo vyao watapita wasio na vigezo apo
 
Vijana ombeni. Achaneni na hao wapumbavu wawili wanaobeza.Mmoja anasema eti yeye hata bure haendi!Njaa haijampiga. Ipo siku atakujaitafuta nafasi ya kujiunga hata na jeshi la sungusungu hataipata mjinga huyu
Pamoja na elimu yangu nimeitupa kule nimeomba kitambo sana
Struggle is real kitaani hao bado wapo hom
 
Kaka unajifanya kama hukuwahi kufanywa geresha [emoji23] hizi kazi za majeshi ni ukoo tayar washandaa ndugu zao ilihali vigezo hawana
Nishawahi mkuu tena sitaki kukumbuka [emoji3] ila sema wanaopita bila connection pia wapo sasa tukikata tamaa tukaogopa mzee baba hatutatoboa huwezi jua round hii ni sisi
 
Vikisini hakuna ma service ?
 
Kaka unajifanya kama hukuwahi kufanywa geresha [emoji23] hizi kazi za majeshi ni ukoo tayar washandaa ndugu zao ilihali vigezo hawana
Hahaa

Sema we chalii jau sana, hivi ndiyo mtu wa kukata tamaa hivi hadi kitaa?

Hatukatai connection muhimu, ila walau mtu unajaribu kwa nafasi yako.

Last October nilikuambia apply lile tangazo la askari wanyama pori (Conservation Rangers) la Tanapa, ukatoa same excuses "oooh wana watu wao"

Walio -apply na kupiga ule usaili, nafasi ziliongezwa za kutosha tu na wengine waliofaulu na kubaki kwenye kanzidata, wakaitwa kama security guards (TPA) tangazo la April hapo.

Stop whining, dunia haina huruma hii.

Haya kama hujavuka 25 bado na ulipita Jakata, apply hilo la TFS - Security Guards. TFS, TAWA & TANAPA wote ni Jeshi la Uhifadhi kwa sasa, maslahi yapo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hao form four ni lini wameenda JKT? Kwasababu tumezoea JKT wanaenda form six kwa mujibu wa sheria ila sijawahi kuona tangazo la form four kujiunga jkt
 
Upo nchi gani mkuu? Ila sisi huku TZ wanachukuliwa form 6 kwa mujibu wa sheria wanakaa miez mitatu nakurud kwao na JKT wakujitolea ambao kunakuwa na elimu mchanganyiko kuanzia la7 had masters huwa ni mkataba miaka miwili jeshini ndo hao wanawataka
 
Hao form four ni lini wameenda JKT? Kwasababu tumezoea JKT wanaenda form six kwa mujibu wa sheria ila sijawahi kuona tangazo la form four kujiunga jkt
Wewe ni Mtanzania kweli?? [emoji15]Inamaana wewe hujui au haujawahi sikia JKT KUJITOLEA?
 
Hao form four ni lini wameenda JKT? Kwasababu tumezoea JKT wanaenda form six kwa mujibu wa sheria ila sijawahi kuona tangazo la form four kujiunga jkt
Tusije tukawa tunachat na Wakenya humu ndani kwenye mambo ya msingi kama haya.
 
Hao form four ni lini wameenda JKT? Kwasababu tumezoea JKT wanaenda form six kwa mujibu wa sheria ila sijawahi kuona tangazo la form four kujiunga jkt
Wewe unaweza kuwa mtoto sana na maisha bado hayaharestore ubongo wako vizuri!!!
 
Back
Top Bottom